Tunawaomba polisi wasituingilie tunapotetea haki, ni pamoja na haki zao wenyewe, waache kutumika kama kondomu, isije ikafikia wakatulazimisha tukawaita na wao ni mbwa, akiamriwa kubweka anabweka hovyo hovyo!
Tuwaone viongozi wa chadema wako mbele na wake zao na watoto wao.. sio.kila siku kuwaacha waandamaji wanaumizwa wao wamejifungia nyumbani
tutakuwepo, lazima tuandamano wanataka au hawataki.
Twambieni, tuje na nini viongozi wetu.
Tuwaone viongozi wa chadema wako mbele na wake zao na watoto wao.. sio.kila siku kuwaacha waandamaji wanaumizwa wao wamejifungia nyumbani
Sasa mnashinda jf kufanya nini??
Andamaneni kwani dawa yenu si mnaijua??
Du! Hamjajifunza Kwamba Fujo na maandamano ndio vinawagharimu Haya endeleeni.
Hivi Bi Shangazi bado first lady to be?Haya ona sasa,.....
![]()
![]()
Tuwaone viongozi wa chadema wako mbele na wake zao na watoto wao.. sio.kila siku kuwaacha waandamaji wanaumizwa wao wamejifungia nyumbani
Huyu mzee kazeeka wala hajitambui kabisa mtu mwenyewe anatembea kainama.
Sasa mnashinda jf kufanya nini??
Andamaneni kwani dawa yenu si mnaijua??
Nakutakia kipigo chema "SHUJAA" ...bila chadema jf, wewe na familia yako mnakufa njaa mpumbavu wewe...naelekea kwenye maandamano...
Tuwaone viongozi wa chadema wako mbele na wake zao na watoto wao.. sio.kila siku kuwaacha waandamaji wanaumizwa wao wamejifungia nyumbani
Haya kumbe yanaendelea