Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 793
Kweli aisee maana Polisi ndio wanapanga Watu waandamane!fujo na vurugu kwenye maandamano vinaletwa na polis baada ya kuingilia maandamano hayo!

akiojiwa na "DW BORN" leo mchana prof abdalah safari amesema maandamano yapo palepale kwa police hawana mamlaka ya kutoa kibali cha maandamano bali wao wanapewa taarifa tu, kama kusitisha maandamano basi ni kunakiwa na makubaliano kati ya police na waandamanaji ila si kuzuia maandamano
Tuwaone viongozi wa chadema wako mbele na wake zao na watoto wao.. sio.kila siku kuwaacha waandamaji wanaumizwa wao wamejifungia nyumbani
Prof wa sheria anajuwa na kuamini alichokisema
Na yeye wamwite makao makuu ya polisi akahojiwe
Mbowe la kuvunda ndiyo basi tena.Mbona Mbowe kakimbilia afrika kusini?
Tuwaone viongozi wa chadema wako mbele na wake zao na watoto wao.. sio.kila siku kuwaacha waandamaji wanaumizwa wao wamejifungia nyumbani
Tuwaone viongozi wa chadema wako mbele na wake zao na watoto wao.. sio.kila siku kuwaacha waandamaji wanaumizwa wao wamejifungia nyumbani
Kama kawa nitakuwepo, na polisi akijipendekeza atajuta kuzaliwa....
Mbona Mbowe kakimbilia afrika kusini?
Huyu mzee kazeeka wala hajitambui kabisa mtu mwenyewe anatembea kainama.