Prof. Safari ajiunga CHADEMA; akabidhiwa kadi rasmi leo

Waislamu hawatababaishwa na ghiriba za Chadema kuchukua Prof Abdallah safari kwani wanataka kumtumia huyu kujionyesha kuwa chanyewe Chadema kina sura ya kitaifa na si kidini (Kikristu).

Hivyo waislamu wamelishtukia hilo na Hawadanganyikiiiiiiiii

Hafif wewe ndio umelishtukia na sio waisalmu wote!

Kumbuka kuwa propaganda za udini juu ya chadema ni temporal na zinaweza kuisha CDM wakiamua kuzifanyia kazi.

Kazi waliyonayo CDM ni kuuthibitishia umma kuwa haina udini.

Sasa wakiweza kufanya hivyo, na ikawa hivyo..usilazimishe ati NI LAZIMA KINA UDINI!!1

Hafif I do believe in your heart you know fo sure WATANZANIA WENGI HAWANA UDINI wala hawawazii huko...

wanasiasa ndio wanatumia hii kadi kusema kuna udini, kuna wanaoufuata na wasioufuata

Leo hii HAFIF ukiita waislamu 10, 000 ukawaambia wanaoichukia chadema wanyoshe mkono unaweza kuwapata 200 tu!

This dini issue ni politics zaidi ukija KIJAMII hakuna segregation ya waislamu na wakristo haipo..narudia HAIPO

Leave chadema alone in this! au sema kuwa Prof. Safari siyo muislamu sema tusikie!
 
Kaka, waislamu, Uislamu ni dini na ina waumini wengi na wenye akili timamu. Naamini utakubaliana nami kwamba hakuna mwafaka uliofikiwa na wewe kutumwa kuwasemea kuhusu hili. Prof Safari ni Muislamu kama ambavyo wapo Waislamu wengi Chadema wengine wana majina kama John, Peter, Juma, Halisi, Panga, Kisu, Msumari na kadhalika na wote wana mawazo tofauti na wewe. Nadhani ni haki yako kusema "Sidanganyiki" na si "Hatudanganyiki". Hoja nyingine ni kwamba ajenda ya udini, ukabila na aina nyingine za ubaguzi hutumiwa na watawala na watu wenye maslahi fulani kwa nia ya kutaka kutimiza matakwa yao ya kimaslahi. Tumewahi kushuhudia CUF ikiitwa chama cha Waislamu kwa sababu tu kina Waislamu wengi bila kuangalia historia ya CUF na ngome yake kuu kuwa Pemba na Unguja waliko Waislamu wengi. Sasa CUF wamesahamu na wao wameibeba ajenda kwamba Chadema ni cha Wakiristu tena Wakatoliki eti kwa kuwa Slaa alikua Padri. Kuna watu ndani ya Chadema nao wamewahi kuteleza na kusema CCM ni cha Waiislamu sababu tu Rais ni Muislamu na wajumbe wengi wa Kamati Kuu ya CCM ni Waislamu, na wengine kumuita Sophia Simba kuwa ni Muislamu kwa sababu tu ya jina. Kwa kifupi, hoja ya udini ni hoja dhaifu na chafu na mwisho wake ni maangamizi kwa umma usio na hatia kwa ujinga wa wanasiasa wajinga. Nakumbuka kuna mtu aliniambia haya;

"mwaka 2000 hoja ya kuwapakazia CUF kuwa cha Waislamu ilikisaidia sana chama hicho kupata kura nyingi za Waislamu na mwaka jana 2010 hoja ya CCM kuwa Chadema ni cha Wakiristu ilimsaidia Slaa kupata kura nyingi za Wakiristu na Waislamu ambao waligundua kuwa ilikua ni propaganda lakini pia ilisababisha KIkwete kugawana kura na Lipumba ktk maeneo yenye Waislamu wengi kama Zanzibar na mikoa ya Pwani na Kusini. CCM ndio waathirika wakubwa na wasipoangalia hoja hiyo itawaangusha ama kuiharibu nchi."Mwisho wa kunukuu. Nasubiri utabiri wake maana ni mzee na mwanasiasa ambaye mengi aliyonambia nayaona sasa yakiwamo maajabu ya "vikombe" vinavyotukumbusha "vita ya majimaji"
 
Soma vizuri sana mada yangu kabla kukurupuka kujibu.

Hiyo ni political game kw chadema wanataka kuwachezea na kuwa win waislamu. ndipo nikasema kwa waislam kumchukua huyu ni kama galasa na sio tulufu. Mwenda mdundo na hawadanganyiki mpaka mbadili mtazamo wenu na kuwa wa kitaifa sio ukanda, ukabila na udini

Hahaha! Chadema ni Chama Cha Ukanda! wabunge wa Mbeya na Iringa wametumwa na watu wa kaskazini kwenda kutawala kule, Kawe na Ubungo wamejaa watu kutoka Kaskazini, wasukuma wote Shinyanga na Mwanza wameamishiwa Mtwara sasa Mwamnza na Shinyanga kumejaa Wachaga! Zitto Kabwe, Mustafa Akoonay, na Saidi Arfi ni Wakatoliki! Nilikuwa sijui haya!
 
ndio maana mnaitwa WADANGANYIKA sababu kila wakati mpo kuuficha ukweli kwa jili ya maslahi madogo tu ya kidunia.

Hata viongozi wako wakuu wa nchi walilibainisha hili la Udini nao unawakana.

Usijifanye kiziwi kuwa muwazi
hujui unaongea nini wewe! Viongozi wangu wa nchi woote mataaahila tuuu! nani Pinda! au JK vilaza wakubwa wapo kwa ajili ya maslahi yao tuuu! ukweli uchukue toka kwetu wewe achana na hao mafisadi!
 
Alitoka CUF baada ya kugombea uenyekiti na Prof Lipumba na hapo Prof Abdallah Safari alishindwa kwa kishindo na kuamua kujitoa katika Chama.

Huyu ni mpenda madaraka na hayupo kwenye Chama kwa maslahi ya wananchi au jamii yupo kwa maslahi binafsi ya madaraka.

Chadema wanataka kumchukua ili kuwaziba mdomo waislam, ili ionekane kama chama hiki kina waislamu pia.

Waislam hawadanganyikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Hilo ni galasa kwa waislamu

...amekuwa galasa baada ya kuwatimulia vumbi??? Ina maana na nyinyi mna matatizo kama mlikubali kukaa na galasa miaka yote hiyo or is it a case of Sizitaki Mbichi Hizi??????
 
Hahaha! Chadema ni Chama Cha Ukanda! wabunge wa Mbeya na Iringa wametumwa na watu wa kaskazini kwenda kutawala kule, Kawe na Ubungo wamejaa watu kutoka Kaskazini, wasukuma wote Shinyanga na Mwanza wameamishiwa Mtwara sasa Mwamnza na Shinyanga kumejaa Wachaga! Zitto Kabwe, Mustafa Akoonay, na Saidi Arfi ni Wakatoliki! Nilikuwa sijui haya!

Kila mchele mzuri basi shirt uwe na chuya. Basi hizo ni chuya katika mchele ambazo hazitibui mwelekeo wa kitu.

Pole sana
 
Kaka, waislamu, Uislamu ni dini na ina waumini wengi na wenye akili timamu. Naamini utakubaliana nami kwamba hakuna mwafaka uliofikiwa na wewe kutumwa kuwasemea kuhusu hili. Prof Safari ni Muislamu kama ambavyo wapo Waislamu wengi Chadema wengine wana majina kama John, Peter, Juma, Halisi, Panga, Kisu, Msumari na kadhalika na wote wana mawazo tofauti na wewe. Nadhani ni haki yako kusema "Sidanganyiki" na si "Hatudanganyiki". Hoja nyingine ni kwamba ajenda ya udini, ukabila na aina nyingine za ubaguzi hutumiwa na watawala na watu wenye maslahi fulani kwa nia ya kutaka kutimiza matakwa yao ya kimaslahi. Tumewahi kushuhudia CUF ikiitwa chama cha Waislamu kwa sababu tu kina Waislamu wengi bila kuangalia historia ya CUF na ngome yake kuu kuwa Pemba na Unguja waliko Waislamu wengi. Sasa CUF wamesahamu na wao wameibeba ajenda kwamba Chadema ni cha Wakiristu tena Wakatoliki eti kwa kuwa Slaa alikua Padri. Kuna watu ndani ya Chadema nao wamewahi kuteleza na kusema CCM ni cha Waiislamu sababu tu Rais ni Muislamu na wajumbe wengi wa Kamati Kuu ya CCM ni Waislamu, na wengine kumuita Sophia Simba kuwa ni Muislamu kwa sababu tu ya jina. Kwa kifupi, hoja ya udini ni hoja dhaifu na chafu na mwisho wake ni maangamizi kwa umma usio na hatia kwa ujinga wa wanasiasa wajinga. Nakumbuka kuna mtu aliniambia haya;

"mwaka 2000 hoja ya kuwapakazia CUF kuwa cha Waislamu ilikisaidia sana chama hicho kupata kura nyingi za Waislamu na mwaka jana 2010 hoja ya CCM kuwa Chadema ni cha Wakiristu ilimsaidia Slaa kupata kura nyingi za Wakiristu na Waislamu ambao waligundua kuwa ilikua ni propaganda lakini pia ilisababisha KIkwete kugawana kura na Lipumba ktk maeneo yenye Waislamu wengi kama Zanzibar na mikoa ya Pwani na Kusini. CCM ndio waathirika wakubwa na wasipoangalia hoja hiyo itawaangusha ama kuiharibu nchi."Mwisho wa kunukuu. Nasubiri utabiri wake maana ni mzee na mwanasiasa ambaye mengi aliyonambia nayaona sasa yakiwamo maajabu ya "vikombe" vinavyotukumbusha "vita ya majimaji"

Well said Halisi.
 
hujui unaongea nini wewe! Viongozi wangu wa nchi woote mataaahila tuuu! nani Pinda! au JK vilaza wakubwa wapo kwa ajili ya maslahi yao tuuu! ukweli uchukue toka kwetu wewe achana na hao mafisadi!

Kubali au kataa hao ndio viongozi halali kabisa wa Tanzania waliochaguliwa kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi.

hata ukiwapuuza ni viongozi tu . kalaga baho nyie Chadema
 
Mkuu,

Kama wewe ni mmojawapo wa wale ma-sheikh mnaoendeleza hili la UDINI au ni mshauri wao wa karibu basi NAOMBA kwa niaba ya watanzania (wapenda amani) uache kabisa mkuu wangu. Mnaweza kukishinda chama cha upinzani kwa kufanya namna nyingine ya propaganda na si kupandikiza mbegu ya CHUKI kwa njia za udini. Athari yake ni kubwa sana kwa taifa.

Mkuu, wewe ni msomi na una busara nyingi, kampeni ziliisha; wasaidie wenzako watambue kuwa hizi ni ghiriba za watawala tu. Tafadhali mkuu wangu, nashangaa mnaendeleza kampeni ilhali muda wake ushapita kitambo.
chadema wameua falu ccm wanataka kuchoma mbuga
 
Soma vizuri sana mada yangu kabla kukurupuka kujibu.

Hiyo ni political game kw chadema wanataka kuwachezea na kuwa win waislamu. ndipo nikasema kwa waislam kumchukua huyu ni kama galasa na sio tulufu. Mwenda mdundo na hawadanganyiki mpaka mbadili mtazamo wenu na kuwa wa kitaifa sio ukanda, ukabila na udini
Nimeambiwa kirefu cha ID yako ni HAKILI MKICHWA HAFIF
 
Waislamu hawatababaishwa na ghiriba za Chadema kuchukua Prof Abdallah safari kwani wanataka kumtumia huyu kujionyesha kuwa chanyewe Chadema kina sura ya kitaifa na si kidini (Kikristu).

Hivyo waislamu wamelishtukia hilo na Hawadanganyikiiiiiiiii

nikumbusheni yale maneno amabayo invizibo alisema ukiiandika utakuwa banned. ???
 
Punguzeni unafiki, kumchukua Prof Safari hakuisafishi CHADEMA na dhana ya UDINI, so that you know.

Pia hakuifanyi CHADEMA kuwa bora kuliko chama kingine chochote, hamna jipya wala hamuwezi kufanya miujiza kwa kuwatumia Zitto na Safari, you need some better strategic reforms. Wengine tunasupport mgombea binafsi au kutaka nchi itawaliwe na jeshi.
1.kutumia maneno kama UNAFIKA katika kujenga hoja ni udhaifu mkubwa kwanza moja kwa moja unakua uko bias kitu ambacho hakikubaliwi katika kujenga hoja.
2.SO THAT YOU KNOW?
3.CDM tayari ni chama maarufu kinachoungwa mkono na wananchi ambao kimsingi ndiyo wenye maamuzi juu ya nchi yao, japo kwa sasa wameporwa hii haki yao bt so soon u will see nguvu yao.
4.hivi unajua madhara ya mgombea binafsi? au wewe umeadisiwa vijifaida vichache tu umeconclude, yawezekana upo sahihi ila inaitaji tafakuri za kina.AHSANTE
3.2
 
Pole wewe Mwenye mawazo ya Udini na Ukanda! unasema Chadema kijivue gamba la Ukanda! halafu wakijiunga watu kutoka kanda nyingine unawaita Chuya? What do you stand for?
 
Hafif wewe ndio umelishtukia na sio waisalmu wote!

Kumbuka kuwa propaganda za udini juu ya chadema ni temporal na zinaweza kuisha CDM wakiamua kuzifanyia kazi.

Kazi waliyonayo CDM ni kuuthibitishia umma kuwa haina udini.

Sasa wakiweza kufanya hivyo, na ikawa hivyo..usilazimishe ati NI LAZIMA KINA UDINI!!1

Hafif I do believe in your heart you know fo sure WATANZANIA WENGI HAWANA UDINI wala hawawazii huko...

wanasiasa ndio wanatumia hii kadi kusema kuna udini, kuna wanaoufuata na wasioufuata

Leo hii HAFIF ukiita waislamu 10, 000 ukawaambia wanaoichukia chadema wanyoshe mkono unaweza kuwapata 200 tu!

This dini issue ni politics zaidi ukija KIJAMII hakuna segregation ya waislamu na wakristo haipo..narudia HAIPO

Leave chadema alone in this! au sema kuwa Prof. Safari siyo muislamu sema tusikie!
awa jamaa propaganda zote zikiisha wataanza kutumia mtutu najua watatuua saana na walishaanza lakini mwisho wa siku tutashinda kwani mimi naamini hakuna damu inayomwagika bule.ALUTAKONTINUITY
 
Back
Top Bottom