Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,788
Waislamu hawatababaishwa na ghiriba za Chadema kuchukua Prof Abdallah safari kwani wanataka kumtumia huyu kujionyesha kuwa chanyewe Chadema kina sura ya kitaifa na si kidini (Kikristu).
Hivyo waislamu wamelishtukia hilo na Hawadanganyikiiiiiiiii
Hafif wewe ndio umelishtukia na sio waisalmu wote!
Kumbuka kuwa propaganda za udini juu ya chadema ni temporal na zinaweza kuisha CDM wakiamua kuzifanyia kazi.
Kazi waliyonayo CDM ni kuuthibitishia umma kuwa haina udini.
Sasa wakiweza kufanya hivyo, na ikawa hivyo..usilazimishe ati NI LAZIMA KINA UDINI!!1
Hafif I do believe in your heart you know fo sure WATANZANIA WENGI HAWANA UDINI wala hawawazii huko...
wanasiasa ndio wanatumia hii kadi kusema kuna udini, kuna wanaoufuata na wasioufuata
Leo hii HAFIF ukiita waislamu 10, 000 ukawaambia wanaoichukia chadema wanyoshe mkono unaweza kuwapata 200 tu!
This dini issue ni politics zaidi ukija KIJAMII hakuna segregation ya waislamu na wakristo haipo..narudia HAIPO
Leave chadema alone in this! au sema kuwa Prof. Safari siyo muislamu sema tusikie!