Prof. Palamagamba Kabudi Aleta wawekezaji nchini

Prof. Palamagamba Kabudi Aleta wawekezaji nchini

China siyo MWEKEZAJI China ni MCHOTAJI. Hakuna wawekezaji wazuri zaidi ya nchi za magharibi. Wachina ni wezi wa kutaka kujitwalia Africa
Huo ndiyo Ukweli Mkuu, tatizo hawa viongozi wetu siyo waelewa kabisa. Wanachotaka wao ni Urahisi tu bila kujua Madhara ya baadaye. Tujikumbushe Mkataba wa Gesi mpaka sasa tumeshanufaika na nini? Wakati ni Viongozi hawa hawa waliokuwa wanatudanganya kwamba 2020 tutakuwa na Uchumi wa Kati kutokana na gesi, hapo hapo wakaingiza hati ya Dharura Bungeni na Gesi ikapotea. Hawa watu hawana aibu kabisa. I never trust them at all!
 
Kama hapo ndani ya nyumba ni Beijing nadhani kuna tatizo sehemu. Ukiangalia picha hapo juu kuna picha tatu ya mlima kilimanjaro; Fukwe na Mbuga za wanyama ila cha kushangaza maelezo yaote yameandikwa kwa Lugha ya kichana tu. ilitakiwa inaandikwa kwa Kichina na kiswahili au haya maandishi ya kutangaza nchi hayaandikwi na wataalam? Tumekuaje jamani?
 
Huo ndiyo Ukweli Mkuu, tatizo hawa viongozi wetu siyo waelewa kabisa. Wanachotaka wao ni Urahisi tu bila kujua Madhara ya baadaye. Tujikumbushe Mkataba wa Gesi mpaka sasa tumeshanufaika na nini? Wakati ni Viongozi hawa hawa waliokuwa wanatudanganya kwamba 2020 tutakuwa na Uchumi wa Kati kutokana na gesi, hapo hapo wakaingiza hati ya Dharura Bungeni na Gesi ikapotea. Hawa watu hawana aibu kabisa. I never trust them at all!
Kabisa kiongozi watanzania wachache ndio wanaoelewa ila tungeshikamana hawa viongozi njaa, waongo wasingetufanyia yote haya. Kinachotakiwa ni kuwaonyesha 2020 hata kama kwa baadhi yetu kufa tuwe tayari lkn haki ipatikane. Mbona Malawi wamekianzisha baada ya tume kuwapa rais ambae siyo chaguo Lao. Inawezekana tukiacha uoga. Wanatumia uoga wetu kututesa wakati wao ni waoga kuliko ss.
 
Naona wachangiaji wengi wanabeza kwa kuwa Rais alikataa ule mradi wa bandari ya bagamoyo, lakini kumbukeni Rais hakuna sehemu alisema hataki tena uwekezaji kutoka china isipokuwa issue ni masharti ya mikataba ya uwekezaji na kikubwa zaidi nchi inufaike na mwekezaji pia anufaike na sio kunyonywa, so kama wanakuja masharti yanayotekelezeka mlitaka akatae, tutofautiane kiitikadi ila linapokuja suala lenye masrahi mapana kwa nchi tunahitaji kuweka tofauti zetu za kiitikadi na kuungana kama kitu kimoja, Tanzania ni yetu ikiendelea tumeendelea wote na iki-fail pia tume-fail wote kama taifa.
 
Daah,ni mkanganyiko tu.hivi,China ni marafiki au adui au mnawatumia kujikuza kisiasa?
 
Mh, politiki hii naiogopa sana kushangilia mapema , nataka results ndio niclap. yuko mmoja aliwahi kuleta watengeneza mvua, sikumbuki kama ilitengenezwa hata nusu, yuko mwingine akatuambia kuna kishika uchumba, mimi hata sijui kama kilishalipwa!!!wajameni wajameni!!!, yuko mwingine akatuambai kuna viwanda elfu300 vimefunguliwa in one year nchi hii, yet the GDP is going down!!! no nimechanganyikiwa na hivi mnavyokatta uraia pacha?!?!
 
Project tumefanya sekondari, vyuo vikuu ni research.
P
Hilo ndio nalisikia mara ya kwanza leo. Sawa!
Na hao wanaofanya Masters, research yao wanaandika "Thesis" Hawa wa Ph.D. sijui ya kwao inaitwaje?

Ni utaratibu tu, kama "Jalalani" waliamua iitwe hivyo.
 
wachina tena? Si mlisema ni wajanjawajanja? kweli njaa mbaya! raisi wa awamu ya 6 akija nae akitengua kama ilivyofanyika kwa mkataba wa Bwagamoyo.
 
Prof. Mpumbavu wa Jalalani anawatia chaka tena sie muda tu
 
BEIJING, June 24 (Xinhua)

China ready to deepen cooperation with African countries

-- Chinese State Councilor and Foreign Minister Wang Yi held respective meetings with foreign ministers from nine African countries on Monday, and they pledged efforts to strengthen cooperation and uphold multilateralism.

The foreign ministers are Naledi Pandor from South Africa, Palamagamba Kabudi from Tanzania, Ezechiel Nibigira from Burundi, Aurelien Agbenonci from Benin, Nhial Deng Nhial from South Sudan, Mamadou Tangara from Gambia, Joseph Malanji from Zambia, Luis Filipe Tavares from Cape Verde, and Gbehzohngar Findley from Liberia.

The African foreign ministers are in Beijing to attend the Coordinators' Meeting on the Implementation of the Follow-up Actions of the Beijing Summit of the Forum on the China-Africa Cooperation (FOCAC), with the aim of better implementing the outcomes of Beijing Summit in 2018.

While holding talks with Pandor, Wang hailed the solid mutual trust and deep-rooted traditional friendship between China and South Africa.

Wang said China and South Africa, both as major representatives of emerging markets and developing countries, should jointly safeguard the missions and principles of the United Nations Charter, champion multilateralism, uphold basic norms governing international relations, and oppose any form of unilateralism and bullying, to promote world peace, development and prosperity.

Pandor said South Africa and the whole African continent, as China's partners for jointly resisting unilateralism and bullying practice, would stand together with China in safeguarding multilateralism and an open, inclusive global trade system.

In the meeting with Palamagamba Kabudi, Wang expressed China's readiness to work with Tanzania to keep high-level exchanges, and avail the opportunity of jointly building the Belt and Road https://africacenter.org/spotlight/implications-for-africa-china-one-belt-one-road-strategy/ and the Coordinators' Meeting to ensure better outcomes in bilateral cooperation.

Calling the Beijing Summit of the FOCAC a milestone, Palamagamba Kabudi said Tanzania is willing to facilitate cooperation in infrastructure construction, industrial capacity, and in cultural, educational sectors and other areas.

In respective meetings with Nibigira, Agbenonci, Nhial and Tangara, Wang said the current international situation is complex but China's determination to strengthen its solidarity and friendship with African countries remains unchanged.

Nibigira said Burundi agreed with the Belt and Road Initiative and would continue to support China on issues concerning China's core interests and major concerns.

Agbenonci said multilateralism was now the only correct choice. Only through multilateralism can the voice of small and medium-sized countries, especially African nations, be heard, he said.

Nhial said South Sudan thanked China for its help in various fields, especially its support and contributions to the peace process in South Sudan.

Tangara said since the resumption of diplomatic relations between China and Gambia, bilateral cooperation in various fields had developed fast, and Gambia can be trusted as a sincere partner of China.

When holding separate meetings with Malanji, Tavares and Findley, Wang said China would continue to uphold justice and pursue the shared principles of sincerity, results, affinity and good faith.

China's cooperation with Africa is sincere and selfless, and has no geopolitical purposes, said Wang, adding that China had always followed the principle of non-interference, provided aid as Africa needed, carried out South-South cooperation, and helped achieve common development.

He said China-Africa cooperation was conducive to Africa's infrastructure construction, economic and social benefits, and self-development.

"Africa offers a grand stage of cooperation between different countries, not an arena of major powers' game," said Wang, adding that "African friends will get a right conclusion on who truly attaches importance to, respect, and support Africa."

Malanji said claims that Zambia-China cooperation had led to Zambia's debt problem were inconsistent with the facts and China's loans were used on the infrastructure that Zambia needs most, to promote Zambia's economic development and bring social welfare.

Tavares said Cape Verde cherished relations with China and upheld the one-China principle. He said Cape Verde stood ready to fully implement consensus reached by leaders of the two countries, enhance strategic dialogue, and deepen cooperation, particularly marine economy cooperation, to push bilateral relations into a new era.

Findley said China is Liberia's true friend which has helped fight Ebola alongside Liberia and played an important role in post-epidemic reconstruction. He said Liberia is ready to enhance mutually beneficial cooperation with China.

Also on Monday, Yang Jiechi, a member of the Political Bureau of the Central Committee of the Communist Party of China (CPC) and director of the Office of the Foreign Affairs Commission of the CPC Central Committee, met with all delegation heads here to attend the coordinators' meeting.

The meeting will formally open Tuesday morning.
Source : http://en.people.cn/n3/2019/0625/c90000-9591234.html
 
23 Jun 2019
Beijing, China
PROF. PALAMAGAMBA KABUDI AKIELEZEA MIRADI ITAKAYOJADILIWA BAINA YA TANZANIA NA CHINA
Kusaidia ujenzi wa mabwawa madogo ya umeme yenye jumla ya MW580, ujenzi wa miundo mbinu mji wa Dodoma, upanuzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, ujenzi wa barabara Zanzibar. Pia heshima iliyopewa Tanzania na China kwa Palamagamba Kabudi kukutana na Wang Yi waziri wa Mambo ya Nje wa China. Balozi wa Tanzania nchini China Bw. Mbelwa Kairuki azungumzia changamoto za watalii wa kiChina wanaopenda kusafiri nje na Tanzania imejipangaje kuwapata kwa wingi waje Tanzania moja kwa moja
 
Tatizo ni Je, huyu Waziri Ana uzoefu gani wa Mambo ya biashara? Je alishawahi kufanya biashara yoyote tangu kuzaliwa kwake.? Je anajua nini ktk vita ya uchumi duniani kwa Sasa?. Ikiwa Nchi Matajiri duniani wanamwogopa Mchina kuwekeza ktk Nchi zao wakiogopa upotevu wa Ajira wa watu wao, je Anajua Wachina watakachokifanya ktk Nchi zetu hizi Masikini?. Hayo ni maswali yangu kwake Kabudi.
Biashara gani atakuwa amewahi kufanya kwenye jalala? Mara nyingi kuna watu huwa wanaenda kutafuta makopo, ambayo sidhani kama huwa wanamlipa mtu yeyote.

Tumeamua kutumia uzoefu wa mtu kuishi jalalani na kwa kuishi kwenye upumbavu katika kuinua uchumi.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
" mnaoendelea kuishi na hofu ya Kabudi endeleeni kuishi na hofu hiyo, Kabudi haterereki wala hayumbishwi" , Hongera Prof. Kabudi kwa kuishi maneno yako
 
Hatari sana, hizi mentality za kuleta wawekezaji za hovyo sana.

Jengeni uwezo wa wawekezaji watanzania na mazingira rafiki ya biashara ndani, automatically tu biashara zitasimama na hao wawekezaji watakuja wenyewe tu tena watafanya biashara joint venture na wabongo wenye mitaji.
 
Back
Top Bottom