hilo tukio limetokea 14/3/2019, unaposema miaka minne imepita unamaanisha nini? kuna kiwanda kikubwa kinaweza kujengwa kwa miezi mitatu? naona pumzi imekata mapem kabla hata ya kampeni, poleni sana ila kumbekeni Kabudi ni kama upepo, akipuliza tupu zinabaki waziWale Warusi waliokuja ikulu wakaongea na Rais na kuahidi kujenga viwanda waliishia wapi maana mwaka wa nne huu kimya
Mtu kutoka Jalalani si rahisi kuleta kitu chenye mashiko kwa taifa.Kwenye koroshow aliwaleta wawekezaji kwa kuwanadi kwa mbwembwe kuwa walikuja na ndege ya kukodi sasa hivi Koroshow ishakuwa janga la Taifa.Jamaa huyu sana sana atatuletea Uvundo wa Jalalani tu!!." mnaoendelea kuishi na hofu ya Kabudi endeleeni kuishi na hofu hiyo, Kabudi haterereki wala hayumbishwi" , Hongera Prof. Kabudi kwa kuishi maneno yako
Na we we unamwamini mtu aliyetolewa Jalalani!!!Huyu sio mtu wa mchezo mchezo, anafanya kweli.
P
MUTU YA JALALANI.Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba Kabudi amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Mfuko wa Uwekezaji wa China-Africa Development Fund Ndugu Wang Yong leo Beijing. Mfuko huo umeelezea nia ya kuwekeza katika ujenzi wa maeneo ya viwanda pamoja na mradi wa bomba la mafuta.
View attachment 1136398
Mtu aliyetolewa Jalalani mnategemea nini kama si majigambo na uvundo wa Jalalani tu??hilo tukio limetokea 14/3/2019, unaposema miaka minne imepita unamaanisha nini? kuna kiwanda kikubwa kinaweza kujengwa kwa miezi mitatu? naona pumzi imekata mapem kabla hata ya kampeni, poleni sana ila kumbekeni Kabudi ni kama upepo, akipuliza tupu zinabaki wazi
Acha kujiaibishahilo tukio limetokea 14/3/2019, unaposema miaka minne imepita unamaanisha nini? kuna kiwanda kikubwa kinaweza kujengwa kwa miezi mitatu? naona pumzi imekata mapem kabla hata ya kampeni, poleni sana ila kumbekeni Kabudi ni kama upepo, akipuliza tupu zinabaki wazi
hilo tukio limetokea 14/3/2019, unaposema miaka minne imepita unamaanisha nini? kuna kiwanda kikubwa kinaweza kujengwa kwa miezi mitatu? naona pumzi imekata mapem kabla hata ya kampeni, poleni sana ila kumbekeni Kabudi ni kama upepo, akipuliza tupu zinabaki wazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani nikiona comments zako huwa nacheka sanaHuyu sio mtu wa mchezo mchezo, anafanya kweli.
P
Eeeeh, LL.B. nako mlikuwa mnatakiwa kutengeneza 'dissertation"... au?Please no!, Prof. Kabudi, ndie supervisor wangu wa LL.B dissertation.
P
Wawekezaji hawaji kwa maneno matamu ya kupambapamba. Sera na mazingira ya kibiashara ndio mpango mzima.Huyu sio mtu wa mchezo mchezo, anafanya kweli.
P
Kikaragosi kingine hiki kilichoamua kujitoa ufahamu.
Project tumefanya sekondari, vyuo vikuu ni research.Eeeeh, LL.B. nako mlikuwa mnatakiwa kutengeneza 'dissertation"... au?
Kuna wengine walikuwa wanatengeneza "Project Reports" katika Vitivo mbalimbali kule Jalalani! au ni majina tu kutofautiana?
Hapana ndugu jaribu kumsoma vizuri Mr Njaa, hamaanishi kama ulivyomfikilia
Mwezi uliopita Rais wa China alikuwa nchi za Ulaya kutafuta wawekezaji wa kwenda kuwekeza China.Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba Kabudi amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Mfuko wa Uwekezaji wa China-Africa Development Fund Ndugu Wang Yong leo Beijing. Mfuko huo umeelezea nia ya kuwekeza katika ujenzi wa maeneo ya viwanda pamoja na mradi wa bomba la mafuta.
View attachment 1136398