Please no!, Prof. Kabudi, ndie supervisor wangu wa LL.B dissertation.
P
GWaziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba Kabudi amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Mfuko wa Uwekezaji wa China-Africa Development Fund Ndugu Wang Yong leo Beijing. Mfuko huo umeelezea nia ya kuwekeza katika ujenzi wa maeneo ya viwanda pamoja na mradi wa bomba la mafuta.
Download Image
View attachment 1136398
Download Image
Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba Kabudi amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Mfuko wa Uwekezaji wa China-Africa Development Fund Ndugu Wang Yong leo Beijing. Mfuko huo umeelezea nia ya kuwekeza katika ujenzi wa maeneo ya viwanda pamoja na mradi wa bomba la mafuta.
View attachment 1136398
Si kila lililo duniani una ufahamu nalo. Na hasa unapoamua kuwa sadist. Kinachotazamwa si mchina wala mndengeleko bali masilahi mapana ya taifa. Hivyo penye win win situation, mashirikiano yanakuwepo.Ama kweli Tanzania haiishi vioja!! Hawa wachina si ndiyo juzi juzi mmesema wana mikataba ya kinyonyaji, watu waliotaka kuwajengea viwanda na bandari ya Bagamoyo? Leo mnaenda tena kwao wanyonyaji hawa hawa na maombi ya kujengewa viwanda? Huyu mtu wa jalalani, kwa nini hakurekebisha mkataba na ukafanana na utashi wa nchi? [emoji16][emoji16][emoji16], ama kweli uskistaajabu ya Musa utaona ua Kala Magamba Kabundi
Dili zote za Prof ni hewa nikikumbuka Noah zetu za Acacia machozi yananitoka.Huyu sio wa kuamini inawezekana kasaini mkataba na matapeli
Juzi juzi hapa rais alisema wachina wana masharti magumu ya kinyonyaji na kuwa ni kichaa tu ndiye atakaye kubaliana nao sasa imekuwaje tena wanafanya mazungumzo nao?Huyu sio mtu wa mchezo mchezo, anafanya kweli.
P
Naona alikuwa anajaribu kuwazengua Form Six leavers na Grade A humu .......... maana wako wengi!!Eeeeh, LL.B. nako mlikuwa mnatakiwa kutengeneza 'dissertation"... au?
Kuna wengine walikuwa wanatengeneza "Project Reports" katika Vitivo mbalimbali kule Jalalani! au ni majina tu kutofautiana?
Hivi na wao "wamekuja na ndege?"Baada ya kutoka jalalani
Mikataba ya kinyonyaji ni Ile ya Bagamoyoa nduguAma kweli Tanzania haiishi vioja!! Hawa wachina si ndiyo juzi juzi mmesema wana mikataba ya kinyonyaji, watu waliotaka kuwajengea viwanda na bandari ya Bagamoyo? Leo mnaenda tena kwao wanyonyaji hawa hawa na maombi ya kujengewa viwanda? Huyu mtu wa jalalani, kwa nini hakurekebisha mkataba na ukafanana na utashi wa nchi? [emoji16][emoji16][emoji16], ama kweli uskistaajabu ya Musa utaona ua Kala Magamba Kabundi
Tatizo ni Je, huyu Waziri Ana uzoefu gani wa Mambo ya biashara? Je alishawahi kufanya biashara yoyote tangu kuzaliwa kwake.? Je anajua nini ktk vita ya uchumi duniani kwa Sasa?. Ikiwa Nchi Matajiri duniani wanamwogopa Mchina kuwekeza ktk Nchi zao wakiogopa upotevu wa Ajira wa watu wao, je Anajua Wachina watakachokifanya ktk Nchi zetu hizi Masikini?. Hayo ni maswali yangu kwake Kabudi.Kikaragosi kingine hiki kilichoamua kujitoa ufahamu.
Sasa hawa wawekezaji watakuwa na tofauti gani na wale wa Bandari ya Bagamoyo na ile Special Economic Zone aliyosign Rais wao ...!!?Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba Kabudi amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Mfuko wa Uwekezaji wa China-Africa Development Fund Ndugu Wang Yong leo Beijing. Mfuko huo umeelezea nia ya kuwekeza katika ujenzi wa maeneo ya viwanda pamoja na mradi wa bomba la mafuta.
View attachment 1136398