we vipi unauliza ubira kwani hujui Quality ya elimu ya chuo kikuu cha UDOM na isitoshe si UDOM tukiviangalia vyuo vingi kiundani interms of quality and education infrastructures tutagundua Tanzania bado tuna usiasa usio na tija na hautaleta mabadiliko kwenye mfumo huu wetu wa elimu uliojaa uozo mwingi . kwa hiyo kitu ambacho Ndalichako bi kupitia kiundani na kuvichunguza vyuo vikuu vyetu vyote vya serikali na private na serikali la sivyo wimbo utakuwa ni uleule wa kuzalisha wavaa majoho lakini Mabomu kichwani
Unajua tofauti kati ya university na college?Nakubaliana na wewe vyuo viwe na hadhi ya kutoa elimu ya University status. Prof., anzia na UDOM. Surely this college is below standard.
sijaelewa , college ya udom au university of dodoma?...hivi unaijua udom kweli mzee au bifu za kiboya mzee...Nakubaliana na wewe vyuo viwe na hadhi ya kutoa elimu ya University status. Prof., anzia na UDOM. Surely this college is below standard.
sijaelewa , college ya udom au university of dodoma?...hivi unaijua udom kweli mzee au bifu za kiboya mzee...
Unajua tofauti kati ya university na college?
toa hoja za maana, acha kupaniki, hivi we unaijua udom ..au umekalili mzee, toa data am research uloifanya....sio unapost bila kuwa na data...Mbona unanitukana. Pumba ni mama yako.
sasa kama unajua, tofauti je umeandika nini, udom sio college we, udom ni muunganiko wa college sita, Tiba, sayansi ya dunia, infomatics , education , natural sayansi, social sayansi na humanitia....Surely I know! Double sure!
toa hoja za maana, acha kupaniki, hivi we unaijua udom ..au umekalili mzee, toa data am research uloifanya....sio unapost bila kuwa na data...
Nakubaliana na wewe vyuo viwe na hadhi ya kutoa elimu ya University status. Prof., anzia na UDOM. Surely this college is below standard.
sasa kama unajua, tofauti je umeandika nini, udom sio college we boya udom ni muunganiko wa college sita, Tiba, sayansi ya dunia, infomatics hapo ni kwa wanaume we mtoto wa kike legelege lazima uliwe kichwa, education , natural sayansi, social sayansi na humanitia....
Chuo cha KATA!
kumbe unaanza kuwa na akili ulijitoa ufahamu tu, sehemu yoyote pale hata uwachukue best performer wote ,ukawatupa kbh pale wapo watakao kuwa wa mwisho dogo, ...so hauwezi sema ufute chuo ama ufungie kwa wapumbavu wachache,Sasa umekuja kama academician/ scientist. Matusi yalikuwa ya nini?
Nimewafanyisha interview wengi. It was pathetic! Unafika mahali unamwamnia nieleze kwa kiswajili unataka kusema nini. Mtu amemaliza biology/ immunology miaka mitatu hajui three basic features of an immune system. Huyo anataka umwajili kama research scientist immunology trainee. Note: Siyo wote
chuo cha kata ...haijalishi kijana, .Inajulikana kama chuo cha kata, perfect
kumbe unaanza kuwa na akili ulijitoa ufahamu tu, sehemu yoyote pale hata uwachukue best performer wote ,ukawatupa kbh pale wapo watakao kuwa wa mwisho dogo, ...so hauwezi sema ufute chuo ama ufungie kwa wapumbavu wachache,
umetoa uzi wa kishangingi kijana ,
Ulisoma chuo gani Mkuu?Chuo cha KATA!
Hivi UDOM kuna Quality Assurance department!?
Hivi hili swala la below standard TCU wanalielewa pia!?
me nimepiga na kumaliza miaka kadhaa ilopita then namliza ,na wajinga ka nyinyi mnaota chuo cha kata mwezi wa sita tunaenda kwenye interview nawakalisha, wanabaki na manung'uniko...