Prof. Ndalichako, ubora wa elimu anzia UDOM

Prof. Ndalichako, ubora wa elimu anzia UDOM

Mbona unanitukana. Pumba ni mama yako.

Tupumzisheni akina mama mmeshatutukana sana wapendwa! tumhurumie huyo mama anayetukana na hali sio mwanachama JF na wala hajui lolote! mama aheshimiwe jamani
 
Nakubaliana na wewe vyuo viwe na hadhi ya kutoa elimu ya University status. Prof., anzia na UDOM. Surely this univ /colleges is / are below standard.
Kuna changamoto ambazo zipo kwingineko pia, kusema below standard sijui unatumia vigezo vipi mkuu au umeamua kukurupuka tu upunguze hewa tumboni. Upi upekee wa graduates wa huko unakodhani kuna required standards over Udom graduates na ni katika programs zipi?
Binafsi nikiulizwa ni chuo gani cha umma kiwe cha kwanza kufanyiwa marekebisho hakutakuwa na chuo cha pili. Nitataka vyote viwe vya kwanza.
 
Kama umemaliza udom siwezi kukuajili, I am telling you

Sent from my HUAWEI G730-U10 using JamiiForums mobile app
 
Tupumzisheni akina mama mmeshatutukana sana wapendwa! tumhurumie huyo mama anayetukana na hali sio mwanachama JF na wala hajui lolote! mama aheshimiwe jamani
Hapana, Chikila, wengine hatuwezi kujizuia. Kuna msemo wa kabila fulani unasema: Agamba mbele tamanya kyo alaololwa"= Ukitangulia kusema, tegemea kujibiwa/jibu /vyovyote lolote!
 
Who the **** are you hadi nchi na vijana watetereke eti "usipoajiri" una ajira gani ww? Ukiumwa busha kataa kutibiwa na dr. Wa Udom.
Whatever abusive language, if you are a graduate of UDOM the fact remains intact that your training at a degree level knowledge mastery is questionable by your fellow academicians and in academic circles in general !! Tukana utavyoweza.
 
Be specific tujadili vzr; ur too general; ni k2 gn udom ina lack? miundombinu? qualified lectures? mtaala wake? au viwango vyake vya udahili?
 
Hili la viwango vya udahil! hkn chuo kisichokua div 3! mfn mwk 2011 wkt mm naanza chuo; udsm walichukua w2, dv 3 hd ya 15( E E E) duce wao walichukua had div 3 ya 16,( E E S) pia mwk huu nmeona udsm kwa wale wa diploma imechukua hd gpa ya 3.0 unweza kuangalia selection za hyo miaka kwa evidence zaid..n.b nmeitumia udsm km reference coz ndo inaongoza kwa ubora .hl ufanye comparison.
 
Be specific tujadili vzr; ur too general; ni k2 gn udom ina lack? miundombinu? qualified lectures? mtaala wake? au viwango vyake vya udahili?
Vyote, poor enrollments of students with low passes!
 
low passes lilikua tatizo la kitaifa na nmekupa mfno wa udsm huo mwk 2011; kwa hbr zngine sjui bt kwa miundo mbinu; iko vzr coz nlifka nikaona mfno; kn lecture rooms za kutosha, kila college ina library yake, maabara za kisasa na wamejenga hospital ya benjamin mkapa colej ya afya ikiwa ni shm ya kusapot mafunzo kwa vitendo.
 
Nakubaliana na wewe vyuo viwe na hadhi ya kutoa elimu ya University status. Prof., anzia na UDOM. Surely this univ /colleges is / are below standard.
Anzia na UDOM=Anza na UDOM......colleges is=colleges are....below standard = below of standard......mwanzo skujua km ww hujui hv nisingechangia, ht mwanafunz wa veta hwz kua hv.
 
ELIMU IPO UDSM UR WELCOME [HASHTAG]#CoET[/HASHTAG]
 
Nakubaliana na wewe vyuo viwe na hadhi ya kutoa elimu ya University status. Prof., anzia na UDOM. Surely this univ /colleges is / are below standard.
kwa grammatical errors km hizo unaweza vp kuquestion ubora wa wenzio? maneno uloandka kiswahili umekosea, kingereza umekosea! ukipewa kuandika ht report ya pg 40 utaandika utumbo kias gn? alaf unadai unafanya kazi!
 
Back
Top Bottom