Prof. Ndalichako, ubora wa elimu anzia UDOM

Prof. Ndalichako, ubora wa elimu anzia UDOM

Majority wako hopeless
aaaaah wako hopeless, kama ulivo wewe kwa kuamini chuo ndo uwezo kuliko kupiga kitabu na kujua ukitakacho,......

hizo siasa ...za hopeless mzee zilikuwa miaka mitano ilopita now ni miaka , tisa mzee
 
Uzi wako hauko wazi, kama msomi(sina uhakikika na elimu yako) ungebainisha kile ambacho unahisi kinakifanya chuo cha UDom kukosa ubora na vipi huyo Waziri anaweza kuchukua hatua badala ya kukurupuka kuposti.
chenga huyu ila leo kaingia kwa wanaume ngoja tumpe shule ,....great thinker hawezi kuwa kilaza hivi
 
Nimekukataza matusi.
we unayajua matusi kweli, hivi unabaki kukalili tu ..kuwa elimu ni chuo ulichosoma mzee ...now watu wanataka mtu mwenye uwezo , mwenye kuwa productive ...kwa kampuni... kijana unatakiwa ukitoka chuo uwe na elimu ya kujikomboa na kufanya vitu vya maana, unabaki unalialia bila data za kutosha ...kutema pumb humu,
 
aaaaah wako hopeless, kama ulivo wewe kwa kuamini chuo ndo uwezo kuliko kupiga kitabu na kujua ukitakacho,......

hizo siasa ...za hopeless mzee zilikuwa miaka mitano ilopita now ni miaka , tisa mzee

May be you have improved. Good news! If you correctly got Prof Ndalichalo when addressing the OUT graduates yesterday, she was very much concerned, as everybody is with the quality of our University outputs
 
Sasa umekuja kama academician/ scientist. Matusi yalikuwa ya nini?
Nimewafanyisha interview wengi. It was pathetic! Unafika mahali unamwamnia nieleze kwa kiswajili unataka kusema nini. Mtu amemaliza biology/ immunology miaka mitatu hajui three basic features of an immune system. Huyo anataka umwajili kama research scientist immunology trainee. Note: Siyo wote
Kulingana na maelezo yako unaonekana kuwa muongo Mkuu.

Kwa sababu watu wanaosoma udom kuhusu ishu za sayansi huwa ni miaka mitano kama sikosei.

Sasa huyo aliyesoma miaka mitatu sidhani kama kasoma Udom. Mtafute umuulize vizuri huenda alijichanganya.
 
Inawezekana kwa kuwa malengo ya kuanzisha kwake huenda hayakufuatwa au hayakufikiwa!!

Haswa, Himawari, Udom imekuwa ikichukua div three form six leavers! Sawa, lkn sometimes walikwenda chini ya hapo
 
Haswa, Himawari, Udom imekuwa ikichukua div three form six leavers! Sawa, lkn sometimes walikwenda chini ya hapo
nani kakwambia me nimeingia pale na 1:7 ya PCM ........acha kukalili chuo gani ambacho hawachukui dv 3
 
May be you have improved. Good news! If you correctly got Prof Ndalichalo when addressing the OUT graduates yesterday, she was very much concerned, as everybody is with the quality of our University outputs
hivi, unajua maana ya OUT mzee, wale katu hauwezi linganisha na vijana wanaokaa darasani na kuandaa na kusoma ,,,....
 
Kulingana na maelezo yako unaonekana kuwa muongo Mkuu.

Kwa sababu watu wanaosoma udom kuhusu ishu za sayansi huwa ni miaka mitano kama sikosei.

Sasa huyo aliyesoma miaka mitatu sidhani kama kasoma Udom. Mtafute umuulize vizuri huenda alijichanganya.

Those are likely to be medical students. Usinibishie, nimewafanyisha interview. Unakuta mtu major yake ni Biology alone, physics alone basi na wala siyo kuwa ana education say, Unamuuliza sasa utaajiliwa kwa profession ipi with that specialisation
 
Ningefurahi kama ungejibu kwanza hayo maswali 2 hapo juu kabla ya kuniuliza swali lako!
QAD ipo na inafanya kazi kwa umakini sana.

Kuhusu below standard siyo kweli kuwa Udom ipo below standard sema ni hisia zako tu kwa kusikiliza story za vijiweni wenye uwezo mdogo wa kufikiria na hata shule hawana sana sana utakuta kaishia form 4.
 
hivi, unajua maana ya OUT mzee, wale katu hauwezi linganisha na vijana wanaokaa darasani na kuandaa na kusoma ,,,....

Naijua sana OUT, I am a student there. Najisomea degree fulani just for fun
 
Those are likely to be medical students. Usinibishie, nimewafanyisha interview. Unakuta mtu major yake ni Biology, physics, basi na wala siyo kuwa ana education say, Unamuuliza sasa utaajiliwa kwa profession ipi with that specialisation
Utaajiliwa= utaajiriwa.
 
Naijua sana OUT, I am a student there. Najisomea degree fulani just for fun
sasa wawezaje linganisha nje na ndani....chuo kipo kisiasa zaidi OUT watu wasiasa walianzisha ....ili wajipatie ubwele
 
Haswa, Himawari, Udom imekuwa ikichukua div three form six leavers! Sawa, lkn sometimes walikwenda chini ya hapo

Na hapo ndipo swala la ubora linaweza kuanzia (ubora wa wanafunzi wanaodailiwa)...., kuna ubora wa walimu, ubora wa miundombinu ya kufundishia n.k.
 
Na hapo ndipo swala la ubora linaweza kuanzia (ubora wa wanafunzi wanaodailiwa)...., kuna ubora wa walimu, ubora wa miundombinu ya kufundishia n.k.
embu nenda dom kacheki miundo mbinu ...then uje na mrejesho...
 
Na hapo ndipo swala ubora linaweza kuanzia (ubora wa wanafunzi wanaodailiwa)...., kuna ubora wa walimu, ubora wa miundombinu ya kufundishia n.k.

Vyote ni questionable. Nasikia kuna vyuo vinatoa au vinagawa first class kama njugu. Hao ndio wanakuwa walimu wa university hizo. Ngoja nisikitaje
 
Naijua sana OUT, I am a student there. Najisomea degree fulani just for fun
katika umri huu ushafanyia watu interview ,na ushasoma degree OUT for fun , come on nigga acha undezi....bado dogo soma kwanza
 
Attachments

  • Captureaaaaa.PNG
    Captureaaaaa.PNG
    7.7 KB · Views: 34
Vyote ni questionable. Nasikia kuna vyuo vinatoa au vinagawa first class kama njugu. Hao ndio wanakuwa walimu wa university hizo. Ngoja nisikitaje

Retired
JF-Expert Member, 19

Retired was last seen:

A moment ago
  • About
    Birthday:
    Jan 31, 1997 (Age: 19)
  • inabidi ukanyonye mzee , soma upige kitabu.....
 
Back
Top Bottom