Prof. Ndalichako, ubora wa elimu anzia UDOM

QAD ipo na inafanya kazi kwa umakini sana.

Kuhusu below standard siyo kweli kuwa Udom ipo below standard sema ni hisia zako tu kwa kusikiliza story za vijiweni wenye uwezo mdogo wa kufikiria na hata shule hawana sana sana utakuta kaishia form 4.

Ok, inawezekana hao unaowaita hawana shule wakawa wanazusha ila kwa nini iwe ni UDOM tu inalalamikiwa kati vyuo/taasisi nyingine za elimu ya juu serikalini?!
 
Retired
JF-Expert Member, 19

Retired was last seen:

A moment ago
  • About
    Birthday:
    Jan 31, 1997 (Age: 19)
  • inabidi ukanyonye mzee , soma upige kitabu.....

Mambo ya JF hayo.
 
Ok, inawezekana hao unaowaita hawana shule wakawa wanazusha ila kwa nini iwe ni UDOM tu inalalamikiwa kati vyuo/taasisi nyingine za elimu ya juu serikalini?!

Perfect, vyuo vikuu vya serikali, it is below standard
 
katika umri huu ushafanyia watu interview ,na ushasoma degree OUT for fun , come on nigga acha undezi....bado dogo soma kwanza

Kijana haya mambo ya particulars ya JF ni for fun
 
katika umri huu ushafanyia watu interview ,na ushasoma degree OUT for fun , come on nigga acha undezi....bado dogo soma kwanza

Niko tayari nijitambulishe kwako inbox, I would`t mind revealing my identity to you
 
Ok, inawezekana hao unaowaita hawana shule wakawa wanazusha ila kwa nini iwe ni UDOM tu inalalamikiwa kati vyuo/taasisi nyingine za elimu ya juu serikalini?!
Inalalamikiwa katika ishu gani Mkuu?

Jaribu kuwa wazi.
 
Perfect, vyuo vikuu vya serikali, it is below standard
Siyo kweli Mkuu,

Kuna vyuo vya private vinachukua watu wenye division 3 wanaenda kusoma course mbalimbali mfano sheria etc. Sasa kama unamchukua mtu mwenye division 3 akasome sheria ataweza kweli?

Vipi vyungo vingi vya private vinafanya hivyo hata wewe mwenyewe unatambua hilo.
 
Nakubali kabisa, mimi niko concerned na UDOM a gov institution, vingine waachie wenyewe.
 
Mimi huwa nawaambia watu tatizo la elimu pamoja na mapungufu ya wizara na serikali katika hili mi naona pia hata sisi wenyewe wengi wetu hatutaki kukubali kuwepo kwa uozo katika vyuo vyetu na tunaendelea kuukumbatia na kuushabikia . hatutafikia mapinduzi ya kielimu katika nchi yetu hii tunajidanganya
 
Chuo cha KATA!
Hivi UDOM kuna Quality Assurance department!?
Hivi hili swala la below standard TCU wanalielewa pia!?

Wanabisha tu hawa. Suala la UDOM linaeleweka kama below standard gov university in terms of graduates
 
kila mwaka tutakuwa tunapata wavaa majoho tu lakini wasio na tija katika maendeleo ya taifa na jamii yetu kiujumla
 
embu nenda dom kacheki miundo mbinu ...then uje na mrejesho...

Mkuu, hoja iliyopo mezani haijaletwa kwa ushabiki, nadhani kuna tatizo ambalo wewe unataka kutuaminisha kuwa si kweli! Ukweli ni kwamba kuna tatizo ktk ubora wa elimu (kuanzia msingi hadi elimu ya juu).
Chukulia mfano wa wale wanafunzi wa vodafasta walioondoshwa hapo UDOM kwa sababu tu ya kukosa vigezo vya kudailiwa chuo kikuu ..., je UDOM walipokea vipi wanafunzi walio chini ya kiwango? Na je kama wangehitimu ubora wao ungekuwa wa kiwango gani ukizingatia kuwa na wao walikuwa waje kuwa walimu ktk shule zetu za sekondari?!
 
Uzi wako hauko wazi, kama msomi(sina uhakikika na elimu yako) ungebainisha kile ambacho unahisi kinakifanya chuo cha UDom kukosa ubora na vipi huyo Waziri anaweza kuchukua hatua badala ya kukurupuka kuposti.

Ndalichako na wadau wanajua, atatafuta hizo data . Jiulize ilipoanzishwa UDOM lecturers waliwatoa wapi. Hatukuwa na qualified people to fill those high mental power reasoning requiring elite positions to teach at a University level. Walichukua bora liende. Likewise to private universities . Tukubali udhaifu turekebishe
 
Mkuu, hoja iliyopo mezani haijaletwa kwa ushabiki, nadhani kuna tatizo ambalo wewe unataka kutuaminisha kuwa si kweli! Ukweli ni kwamba kuna tatizo ktk ubora wa elimu (kuanzia msingi hadi elimu ya juu).
Chukulia mfano wa wale wanafunzi wa vodafasta walioondoshwa hapo UDOM kwa sababu tu ya kukosa vigezo vya kudailiwa chuo kikuu ..., je UDOM walipokea vipi wanafunzi walio chini ya kiwango? Na je kama wangehitimu ubora wao ungekuwa wa kiwango gani ukizingatia kuwa na wao walikuwa waje kuwa walimu ktk shule zetu za sekondari?!
Mkuu wewe unashindwa kuelewa kitu kimoja kwa Tanzania yetu hii.

Ule ulikuwa ni mpango wa viongozi wakubwa serikalini ndiyo walianzisha ule mpango kwa maslahi yao binaafsi yani kwa ajili ya upigaji tu wa hela na siyo vingenevyo.

Pia pale waliletwa kwa sababu ya miundo mbinu iliyopo kule Udom na siyo kwamba ni chuo kiliwachagua Mkuu.

Tatizo siyo chuo cha Udom bali tatizo ni serikali ambayo iliwapekeka pale.

Kitu kingine ni kwamba wale watoto walikuwa wanasoma sitashahada na siyo shahada Mkuu.
 
Ndalichako na wadau wanajua, atatafuta hizo data . Jiulize ilipoanzishwa UDOM lecturers waliwatoa wapi. Hatukuwa na qualified people to fill those high mental power reasoning requiring elite positions to teach at a University level. Walichukua bora liende. Likewise to private universities . Tukubali udhaifu turekebishe
je ilipoanzishwa UD lecturers walitoka wapi?
 
Back
Top Bottom