Prof. Ndalichako NECTA kuna madudu

Prof. Ndalichako NECTA kuna madudu

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Posts
16,952
Reaction score
10,514
Nimeenda leo ofisi za necta kusajili vyeti.
Nimepokewa reception na nikaeaomba nahitaji kumuona mhusika anaeshughulikia masuala ya usajili vyeti.

Majibu ya reception nimeambiwa mhusika hayupo kasafiri mpaka baada ya wiki mbili[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji844] [emoji844]

Nikamuuliza mara 2 x2 muhusika yuko wapi akajibu kwa msisitizo HAYUPO URUDI MPAKA BAADA YA WIKI MBILI[emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] mawweeee[emoji779] [emoji779]

Sasa Mama NDALICHAKO hebu tujuze sie wananchi hivii mwajiriwa wa serikali akisafiri huwa anaondoka na ofisi nayo inafungwa[emoji844]

Na jee hiyo nafasi ni huyo tuu peke yake ndie anaejua hiyo kazi? Serikali haina mtu wa kuchukua kuziba hiyo ili tuendelee kupata huduma na huyo mtumishi aendelee na likizo yake .

Kwakweli nimesikitika sana haya mambo hayapaswi kutokea kwenye sekta za serikali.
Mama NDALICHAKO hebu chukua hatua utusaidie sisi tunaofuata huduma kwenye ofisi za serikali NECTA. Maana tumeambiwa huduma ni mpaka muhusika atakaporudi baada ya wiki mbili.

ndalichako
NECTA
 
labda atakusikia.
Me nasubiria nimsikie amechukua hatua gani na jumatatu naenda tena kuulizia.
Haiwekezani[emoji41] mtumishi asafiri ofisi inafungwa huduma mpaka arudi wk2
 
Nimeenda leo ofisi za necta kusajili vyeti.
Nimepokewa reception na nikaeaomba nahitaji kumuona mhusika anaeshughulikia masuala ya usajili vyeti.

Majibu ya reception nimeambiwa mhusika hayupo kasafiri mpaka baada ya wiki mbili[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji844] [emoji844]

Nikamuuliza mara 2 x2 muhusika yuko wapi akajibu kwa msisitizo HAYUPO URUDI MPAKA BAADA YA WIKI MBILI[emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] mawweeee[emoji779] [emoji779]

Sasa Mama NDALICHAKO hebu tujuze sie wananchi hivii mwajiriwa wa serikali akisafiri huwa anaondoka na ofisi nayo inafungwa[emoji844]

Na jee hiyo nafasi ni huyo tuu peke yake ndie anaejua hiyo kazi? Serikali haina mtu wa kuchukua kuziba hiyo ili tuendelee kupata huduma na huyo mtumishi aendelee na likizo yake .

Kwakweli nimesikitika sana haya mambo hayapaswi kutokea kwenye sekta za serikali.
Mama NDALICHAKO hebu chukua hatua utusaidie sisi tunaofuata huduma kwenye ofisi za serikali NECTA. Maana tumeambiwa huduma ni mpaka muhusika atakaporudi baada ya wiki mbili.

ndalichako
NECTA
Iyo peleka Tamisemi ndy pataeleweka zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom