Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,458
- 8,961
- Thread starter
- #81
Aliyekupa wewe na familia yako ni Mungu, usitutoe thamani sisi watoto wa wakulima na wavuvi. Mshukuru Mungu wewe ni mboga saba.
*Tunasomeshwa kwa tabu ada ya A'level mpk wazazi wanashindwa. Wazazi wetu hawawezi kutulipia ada ya vyuo, tukikosa mikopo tutakosa elimu.
*Taifa linahitaji wasomi hata kama watakuwa wengi.
Mkuu, ahsante kwa busara zako.
Huyu kilio changu ni mpuuzi sana! anadhani kila mtanzania ni [HASHTAG]#mboga[/HASHTAG] saba kama yeye. Na si ajabu hiyo financial stability ya wazazi wake waliiba kodi za watanzania.
Anaongea urojo kabisa bila hata aibu, eti Serikali ifute Loan!!
Hawa ndiyo wale wakisikia kuwa "maisha ni safari"... wao wanabeba mabegi kuwahi stendi. Na wanaposikia jogoo kawika, wanajua ni asubuhi.
-Kaveli-