Siku utakapojitambua wewe binafsi na wajibu wako twaweza discuss jambo ukaelewa. Ondoa culture zetu tulizojijengea wenyewe tukafikiria ni haki yetu, hii ndio chanzo cha matatizo yanayoendelea kila corner.
Suala la GPA 3.5 ndio kiwango cha chini kabisa cha mtu anayetakiwa kuendelea na academic path, otherwise you have to look on other alternative. hii kufanya siasa imeingiza watu wengi kwenye boat likalemewa na matokeo yake ni kuwapotezea muda na hawatawamudu, sio lazima kila mtui apite hapo ndo maana kuna mtihani, ili wengine wangie sehemu nyngine na sio kupotezeana muda. Kubadili tu 3.0 yawezekana baada ya kuona elimu ilishakuwa na shida, ila alichofikiria awali ni sahihi
Suala la kusomeshewa wanetu limetufanya tukabetweka tukajisahau na kuacha kuchukua wajibu wetu. Naamini serkali ingefuta loan kabisa tungejipanga tukawasomesha watoto wenyewe na ingepunguza uzazi maana tungejua itakakuiwa ni mzigo kwetu. Ngumu kuelewa naongea nini maana ni culture ilyojengeka tayari kufikiria hata kutaarisha future za watoto wetu ni serkali. wazazi wangapi wanasomesha watoto shule za gharama Zaidi ya gharama za vyuoni. Serkali ili overlook hili na sasa imejkuta imeruhusu idadii kubwa ambayo kamwe haitaweza kuimudu. Kukosa uzalendo ndo kumesababisha hata wale wenye huitaji kweli kuchindwa kupewa stahiki yao.
Narudia sio wote kweli wahitaji, tuweke uzalendo mbele kwanza.
We mwenyewe ushajitambua? 'kilio chako' ni cha nini?
Sasa twende kwenye point:
1. Culture ipi hiyo? kuwa specific.
2. Universal minimum entry qualification into University, ni ipi?
3. Amefanya kazi kwenye sector ya elimu kwa muda mrefu, shida na matobo yote ya elimu yetu anayajua vyema. Ghafla kupandisha GPA to 3.5, then ghafla kushusha to 3.0... sio kukurupuka huko?
4. Serikali ifute Loan??!! are you serious? nchi hii wananchi maskini ndiyo the majority kuliko wenye uwezo. Hata huko developed countries kwenyewe, wanatoa Students Loan grants. Acha kuandika kama vile huna kichwa. Si ajabu wewe mwenyewe ulisoma kwa huo huo mkopo, leo hii unatapika uharo wako hapa eti Serikali ifute Loan.
5. Kwenye inshu ya kupunguza uzazi, una hoja. Kwamba watu wanafyatua tu watoto kwa wingi wakati wazazi hawana uwezo hata basic needs tu. Ndiyo maana kuna baadhi ya nchi, mfano Finland, elimu ni completely FREE kabisa hadi University! coz wana population ndogo sana.
Lakini kwa upande mwingine, ishu ya population is immaterial in this regard. Tujiulize, kuna nchi nyingi tu za kiafrica zenye uchumi na population kama Tanzania, why wao serikali zao zimeweza kusomesha (by loan) wananchi bila migogoro? Lakini education sector ya Tanzania ni kama gari bovu!
Mimi binafsi, naamini mambo yafuatayo (by serikali) ndiyo yanakwamisha Taifa hili:
-Bad governance (embezzlement, poor prioritization)
-Siasa za maji taka (To politicize everything even crucial development issues)
-Rushwa
-Intellectual laziness
-Kaveli-