Prof. Mukandara amepanda texi leo (Big up!)

Prof. Mukandara amepanda texi leo (Big up!)

Umerogwa. ???? Ungesema baiskeli au bodaboda ningekuelewa. Unajua ataandika amemlipa mwenye taxi bei gani ? Mwenzio hakosi kuandika lakhi saba wewe kwa uzuzu wako unaona kupanda taxi ni cost cutting. I am sorry for your small mind and big head full of bones.

anakwenda kwenye mchepuko wake hataki inzi na stk yenu!
 
Mtu kupanda taxi tu mjadala?? Kwani Mukandala ni nani?
 
Nimefurahi kuona bado kuna watu wanaojali jasho la walipa kodi kwa kuto tumia mashangingi yanayobugia mafuta ovyo na infact yana-cost pesa nyingi sana za wavuja jasho. big up.., kudos Mukandara..!!
Wanasiasa bwana, mbona hata akina Kigwangala na akina Kinana wanapandaga bajaji?Wewe kwa akili zako unafikiri eti wamepanda kutoka moyoni?Thubutu yako utaendelea kusifia mvua na itakunyeshea tena ile ya mawe kwa taarifa yako
 
Mtu kupanda taxi tu mjadala?? Kwani Mukandala ni nani?

Labda nikowatajawafuatao utamjua

Dr. Ibrahim Kaduna

Mr. Nicholas Kuhanga

Prof Geoffrey Mmari

Prof. Mathew Luhanga. endelea utamkuta mbele
 
Labda nikowatajawafuatao utamjua

Dr. Ibrahim Kaduna

Mr. Nicholas Kuhanga

Prof Geoffrey Mmari

Prof. Mathew Luhanga. endelea utamkuta mbele

Hivi huu uongozi wa chuo unakuaga miaka mingapi mingapi per term..?
 
Francis you reason like a small boy. The question here is money my young brother. Mchepuko utafuatwa usiku watu wakisha jaza petty cash vouchers. Yule sio mjinga afuate mchepuko M.city wakati kwake ni nyuma ya Arthi institute. anapokutana na mchepuko hutomwona wewe japo anachepuka na vitu laini na vidogo yaani anatega na kokoro

we ulishamuona akichepuka????
 
Labda nikowatajawafuatao utamjua

Dr. Ibrahim Kaduna

Mr. Nicholas Kuhanga

Prof Geoffrey Mmari

Prof. Mathew Luhanga. endelea utamkuta mbele

Sina maana kwamba simjui,,!!
 
Yani ajiandae!2kuridi chuo wana Udsm 2nakufa nae!mpaka sasa wiki inaenda ya 5 ha2japata hela ya field!Halafu kashirikiana na waliomuweka ku2sainisha fedha hewa!
 
Yani ajiandae!2kuridi chuo wana Udsm 2nakufa nae!mpaka sasa wiki inaenda ya 5 ha2japata hela ya field!Halafu kashirikiana na waliomuweka ku2sainisha fedha hewa!
Sasa kwanini uli-sign..?!
 
Back
Top Bottom