Prof. Mukandara amepanda texi leo (Big up!)

Prof. Mukandara amepanda texi leo (Big up!)

Sisi enzi zetu tulikuwa tunakopeshwa na HESLB, nashtuka kusikia nyie mnakopeshwa na chuo!!

Yani ajiandae!2kuridi chuo
wana Udsm 2nakufa nae!mpaka sasa wiki inaenda ya 5 ha2japata hela ya
field!Halafu kashirikiana na waliomuweka ku2sainisha fedha hewa!
 
Sasa kwanini uli-sign..?!

ulitaka nigome kusign?utaratibu ndio uko hivyo,always pesa ikikaribia kutolewa mnasign then within a week inawekwa kwny akaunti.usiposaini hupati pesa!
This time wamesainisha watu ili usitokee mgomo wakati wakijua fedha hamna!
Watu tumekopa fedha za nauli na za kutusukuma walau kwa hiyo wiki maeneo yetu ya field.sasa wiki ya 5 hakuna kitu.wanatutesa na pesa ambazo tutazilipa kwa jasho letu!
 
Yani ajiandae!2kuridi chuo wana Udsm 2nakufa nae!mpaka sasa wiki inaenda ya 5 ha2japata hela ya field!Halafu kashirikiana na waliomuweka ku2sainisha fedha hewa!

Kwa maelezo yako ndo nimeelewa kwanini kaamua kutumia tax badala ya v8.
Inaelekea hata yeye hajaingiziwa mpunga na si ajabu ukute hapo ameingia mkataba na dreva tax anampeleka bure hadi bum litakpoingia ndo amtoe chake.
 
Sisi enzi zetu tulikuwa tunakopeshwa na HESLB, nashtuka kusikia nyie mnakopeshwa na chuo!!

we p..mbu kweli!umeona sehem yoyote nimesema chuo kinakopesha watu?ninachosema mkandara alijua kuwa fedha hazijatoka hazina na hazipo lakin akatumiwa kuwahadaa wanafunzi wasaini!kawaida ukisaini inachukua cku 3 mpaka 7 pesa kuwekwa coz inakuwa kwny final stages!
Kwanza ulisoma mwaka gani na kozi gani?
 
Kwa maelezo yako ndo nimeelewa kwanini kaamua kutumia tax badala ya v8.
Inaelekea hata yeye hajaingiziwa mpunga na si ajabu ukute hapo ameingia mkataba na dreva tax anampeleka bure hadi bum litakpoingia ndo amtoe chake.

hahahaa,labda alikuwa anaenda kwa nyumba ndogo
 
Hivi huu uongozi wa chuo unakuaga miaka mingapi mingapi per term..?

Uongozi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam una hadhi moja na uwaziri au zaidi kidogo ya uwaziri. Marupu rupu yake ni over ya waziri assuming hakuna anayeiba au bila ufisadi. duration ya kile kiti kinategemea whims za mpangaji wa Magogoni kwa wakati huo. mkiwa mnaiva utapainjoi. kama hamuivi imekula kwako. UDSM ni torfauth na vyuo vingine vyoote ndio maana pana zaidi ya mashushu mia na ushee. na kila siku mpangaji wa mahogoni lazima apate ripoti ya Mlimani.
 
Aisee.., we utakuwa shushushu.., sio bure..!
 
Mkuu tukikuta wapiga soga vijiweni wanasema wewe ni gasho unataka tuwaamini kwa maneno yao?

mkuu jikite kwenye hoja kuliko kuleta vioja, habari zote humu JF tunaanza kwa kuzisoma kisha mtu unatafakari, kama hiyo niliyoweka link ni ya kijiweni then hata na hii habari unayoitetea ni ya kijiweni pia.

Kama unashangaa prof 'kusafiri kwa ndege na gari kumfuata ili akalitumie huko' basi mimi nakushangaa wewe, hilo linafanyika sana na viongozi wetu wanaona ni kawaida, hata ndege ya raisi inabeba mkaa.
 
Back
Top Bottom