Prof. Mukandala aongezewa mwaka mmoja kuwa Makamu Mkuu wa UDSM

Mkuu cha kushangaza Maprofessa wengi waliostaafu kwenye Public Universities sasa wako kwenye Private Universities.Vibabu vipo uko mpaka unashangaa nini maana ya kustaafu!! Kibaya zaidi kwenye miaka ya tisini na mwanzoni mwa miaka ya 2000 walikuwa wanabana sana watu wasiwakaribie, matokeo yake kukawa na gap, ambayo ndio inajazwa jazwa sasa.
HAUJUI USEMALO UPO BIASED TU. HIVYO VYUO VINGI HAVINA WALIMU WA KUTOSHA NA WENYE VIWANGO VYA KUFUNDISHA UNIVERSITY. NA UNAOWAITA VIBABU WANA SIFA ZINAZOTAKIWA. HATA NCHI ZILIOENDELEA KAMA MAREKANI MAPROFESSOR NA WENYE PH.D WANAFUNDISHA MPAKA OVER 70 YEARS. HATA HAPA KENYA NI 70 YEARS. HIVYO WEWE HAUJUI KAZI MUHIMU AU GAP WANAYO COVER KWENYE PRIVATE UNIVERSITIES NA ZA UMMA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom