Prof. Mukandala aongezewa mwaka mmoja kuwa Makamu Mkuu wa UDSM

Sasa nimeamini, Kumbe tatizo ni viongozi! UDSM inayosifika kuwa na professors wengi, wanataka kutuaminisha kuwa wote ni vilaza wa uongozi!
 
Hivi huyu mkandara alivumbua kitu gani mpaka aitwe profesa?? na amefanya jambo gani hadi aendelee kuwa makamu udsm....
 
UDSM inahitaji mawazo mapya.

Mukandara kuwepo kunazuia watu wapya wenye mawazo mapya.
 
Huyu Mama Kairuki yupo wapi? si alisema mtu akimaliza muda wake asepe!!
Hivi mkandala kastaafu kwa taratibu za kitumishi wa uma au kamaliza mda wake wa kuwa VC? Navyojua mpaka kesho ni kuwa mkandala bado ni mtumishi wa uma hata kama asingeongezewa mda wa uVC labda nisahihishwe kama nakosea.
 
Ana miaka zaidi ya 60 so inatakiwa pia kustaafu hyo nafasi.
 
Hivi huyu mkandara alivumbua kitu gani mpaka aitwe profesa?? na amefanya jambo gani hadi aendelee kuwa makamu udsm....
Na mimi zamani nilikuwa nadhani kuwa eti ili uwe profesa lazima uvumbue kitu. Kumbe sio yaani ni kufanya tafiti tu then unapublish ukifikia na hizi publications huwa zinapewa points hivyo ukipublish ukafikia points zinazotakiwa unapewa heshima hiyo. Uprofesa ni heshima tu apewayo mtu kutokana na mchango wake katika tafiti zenye kulenga kutafuta majawabu ya matatizo ya kijamii!
 
Mkuu cha kushangaza Maprofessa wengi waliostaafu kwenye Public Universities sasa wako kwenye Private Universities.Vibabu vipo uko mpaka unashangaa nini maana ya kustaafu!! Kibaya zaidi kwenye miaka ya tisini na mwanzoni mwa miaka ya 2000 walikuwa wanabana sana watu wasiwakaribie, matokeo yake kukawa na gap, ambayo ndio inajazwa jazwa sasa.
Iliyobana ni serikali ambayo haikutoa vibali vya kuajiri au kusomesha walimu wapya. Siyo vyuo.vyenyewe. Wastaafu wanaenda vyuo binafsi kwa sababu vina uhitaji (demand) kwa kuwa havijawa na walimu wao wenyewe. Wale ndio wanawatrain wahadhiri vijana. Kuna vyuo vingine wahitimu wa shahada ya awali wanawafundisha wanafunzi wa shahada ya awali. Si afadhali sana kufundishwa na maprofeda wastaafu?
 
Ana miaka zaidi ya 60 so inatakiwa pia kustaafu hyo nafasi.
Kumbe naye yupo under contract! Duh ila kwa namna moja ama nyingine maprofesa ni watu muhimu katika kusaidia michango ya kitaaluma katika taasisi za elimu ya juu! Kuna jamaa mmoja aliwahi kusema eti bora ufukuze junior staff hata watatu kuliko kumfukuza profesa mmoja!
 
Kwa sababu za kimahusiano prof Mukandala ataongezewa miaka hata akifikisha umri wa Rais Mugabe ilimradi tu awe anatembea
 
Kumbe naye yupo under contract! Duh ila kwa namna moja ama nyingine maprofesa ni watu muhimu katika kusaidia michango ya kitaaluma katika taasisi za elimu ya juu! Kuna jamaa mmoja aliwahi kusema eti bora ufukuze junior staff hata watatu kuliko kumfukuza profesa mmoja!
Yap yuko under contract umri wake wakustaafu ulikuwa tayari tangu Jk akiwa mwisho wa madaraka yake. Ma prof ni muhimu sana kuliko hata ma DR's maana wana experience ya kutosha kwenye field na had kufikia hyo level si mchezo.
 
Iliyobana ni serikali ambayo haikutoa vibali vya kuajiri au kusomesha walimu wapya. Siyo vyuo.vyenyewe. Wastaafu wanaenda vyuo binafsi kwa sababu vina uhitaji (demand) kwa kuwa havijawa na walimu wao wenyewe. Wale ndio wanawatrain wahadhiri vijana. Kuna vyuo vingine wahitimu wa shahada ya awali wanawafundisha wanafunzi wa shahada ya awali. Si afadhali sana kufundishwa na maprofeda wastaafu?
Serikali haiwezi kufanya kila kitu, haiwezi kuajiri kila mtu, ndio maana wakati wote tunahimizwa kutafuta namna mbadala ya kutafuta maisha.Vyuo binafsi vina nafasi ya kuandaa resource zao, isingoje kila kitu kifanywe na serikali.Umeshawahi kusikia Tutorial Assistants? Hawa wanayo kazi ya kusaidia katika kufundisha.Usisahau pia kuna shule binafsi nazo zinatoa ajira. Uwezo wa serikali hauwezi kuendana na ongezeko la idadi ya Graduates.
 
Hongera sana pr Mkandala, wewe ni kichwa maana changamoto za vijana wa UDSM umeziweza, pale panaitaji mtu makini sana maana bila hivyo wale vijana wanakuendesha kama gari bovu, nilikubali sana maamuzi yako kipindi COET tulipoweka mgomo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom