nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,397
Ndege gani ya kukodi mil 4?
guys this is normal we should not discuss this, mkuu wa chuo kukodi ndege ndogo sidhan kama ni issue kabisa tena kwa mil 4.
Hapo ktk red weka sawa kidogo,,,,
chuo kina ukwasi halafu watu wanaacha tena kazi? They must be crazy!
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Prof.Rwekaza Sympho Mukandala amefanya kufuru kimatumizi UDSM.Katika safari yake ya kutembelea Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa Iringa almaarufu kama MUCE,Prof.Mukandala amekodi ndege ndogo ya kumpeleka huko yeye na msaidizi wake mmoja kwa thamani ya takribani shilingi milioni nne.
Kama hiyo haitoshi,Prof.Mukandala aliagiza magari yake mawili ya kifahari aina ya V8 kutangulia Iringa kumpokea yakiwa 'full tank' na bila mtu yeyote ndani yake.Fedha zote anazozitumia ni mali ya UDSM.Nchi hii yaelekea wapi jamani?
Wahaya hawana sifa za kupewa madaraka kabisa. He should resign kwa uupuzi huo. But magamba na TISS watakuja kumtetea humu.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Prof.Rwekaza Sympho Mukandala amefanya kufuru kimatumizi UDSM.Katika safari yake ya kutembelea Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa Iringa almaarufu kama MUCE,Prof.Mukandala amekodi ndege ndogo ya kumpeleka huko yeye na msaidizi wake mmoja kwa thamani ya takribani shilingi milioni nne.
Kama hiyo haitoshi,Prof.Mukandala aliagiza magari yake mawili ya kifahari aina ya V8 kutangulia Iringa kumpokea yakiwa 'full tank' na bila mtu yeyote ndani yake.Fedha zote anazozitumia ni mali ya UDSM.Nchi hii yaelekea wapi jamani?
Tatizo tumelemazwa na ujamaa...tungekuwa na rais kama Uhuru ndio tungelia kabisa...tunataka kuwa sawa hata kama mwingine ame invest zaidi
Wanalalamika ukwasi au ukata??Kuna jamaa zangu wanafanya kazi udsm jinsi wanavyolalamika na ukwasi uliopo hapo udsm kiasi kwamba wanafikiria kuacha kazi. Ukiangalia story nzima wanamlalamikia huyo jamaa, na kama ndio anafanya ufisadi wa namna hiyo basi hafai kuwepo hapo ili kukinusuru hicho chuo. mbona wakati wa luhanga mambo yalikuwa mazuri!!!.
Chuo bora kabisa kuzalisha wezi na wapiga deal haramu. Wanunuzi wa vyetiWanalalamika ukwasi au ukata??
Ukwasi ni utajiri, hali ya kujitosheleza kipesa!!
Ni kweli, lakini kuna tofauti ya mtu msomi na mtu mwenye elimu. Sidhani kama unajua hilo. Wapo waliosoma Udsm bado ni wasomi lakini hawana elimi. Naona pia unashikilia kauli ya jiwe kuwa wasomi wako pale, na ni kweli wasomi wapo pale ila wenye elimu wanahesabika pale. Jitoe tongotongo kuanzia sasa Kuna watu wakiwa Udsm walikuwa na elimu walipotoka hapo saa hizi ni kama wewe msomi tu, tena hao ni walimu wako. Punguza dhihaka kwa wenzio unaweza ingia haya MIT lakini ukatoka msomi lakini usiwe na elimu.we kilaza nyamaza wewe...we lini umesoma udsm?we si mbeba box mbele baada ya kufeli tz?acha mada zinazohusu wasomi wadiscuss wasomi nyani wewe..
Kilaza wa SAUT nyamazaNi kweli, lakini kuna tofauti ya mtu msomi na mtu mwenye elimu. Sidhani kama unajua hilo. Wapo waliosoma Udsm bado ni wasomi lakini hawana elimi. Naona pia unashikilia kauli ya jiwe kuwa wasomi wako pale, na ni kweli wasomi wapo pale ila wenye elimu wanahesabika pale. Jitoe tongotongo kuanzia sasa Kuna watu wakiwa Udsm walikuwa na elimu walipotoka hapo saa hizi ni kama wewe msomi tu, tena hao ni walimu wako. Punguza dhihaka kwa wenzio unaweza ingia haya MIT lakini ukatoka msomi lakini usiwe na elimu.
Hatuna cha kujivunia katika huu ulimwengu, sote tupo uchi hapa nenda kasome popote utabaki kuwa na title tu.
"Sio kila ukuta wenye rangi ni ukuta, nyingine ni milango ya siri ya kupita kwenda kwingineko."
Wenzako wamenunua vyeti hapohapo unapopasifia wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app