Prof muhongo; umuhimu wako umeonekana hongera sana!

SELFISH

Senior Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
133
Reaction score
61
Ni uhalisia sasa watu wamemkubali kua ni jembe prof muhongo baada ya kutokuwepo kwa kipindi kifupi tu, utofauti umeonekana.
Mpaka sasa tunakuomba magufuli huyu jamaa awe waziri mkuu au waziri wa nishati nafikiri halina wakulipinga hili, hata wale waliokua wakikusema sasa wamekubali kwamba ulifanya kazi kubwa wala haukua waziri mzigo.
Nakushauri raisi mpya katika balaza lako usiweke watu wafuatao;
- Watu ambao hawaja maliza starehe.
- watu ambao hawana uzoefu eti atajifunzia huko huko.
- jitahidi uweke kila waziri na fani yake aliosomea ni vigumu kudanganywa.
- usiweke marafiki.
-wizara ya ujenzi weka engineer sio mwana siasa.
- katika wizara uliotoka badilisha mameneja wote wa mikoa ili kuleta ufanisi zaidi.
- ktk michezo tafuta mchambuzi wa michezo mteue awe wazir ili kuondoa siasa kwenye michezo mfano wakina shaffih dauda, yaani awe anajua michezo inaendaje duniani.
 
Anaamua peke yake au jopo linamshauri?
 
Yeye ndy mwenye serikali akisema amesema. kama ni Pm yeye anapendekeza wabunge wana mthibitisha.
 
Ni uhalisia sasa watu wamemkubali kua ni jembe prof muhongo baada ya kutokuwepo kwa kipindi kifupi tu, utofauti umeonekana.
Mpaka sasa tunakuomba magufuli huyu jamaa awe waziri mkuu au waziri wa nishati nafikiri halina wakulipinga hili, hata wale waliokua wakikusema sasa wamekubali kwamba ulifanya kazi kubwa wala haukua waziri mzigo.
Nakushauri raisi mpya katika balaza lako usiweke watu wafuatao;
- Watu ambao hawaja maliza starehe.
- watu ambao hawana uzoefu eti atajifunzia huko huko.
- jitahidi uweke kila waziri na fani yake aliosomea ni vigumu kudanganywa.
- usiweke marafiki.
-wizara ya ujenzi weka engineer sio mwana siasa.
- katika wizara uliotoka badilisha mameneja wote wa mikoa ili kuleta ufanisi zaidi.
- ktk michezo tafuta mchambuzi wa michezo mteue awe wazir ili kuondoa siasa kwenye michezo mfano wakina shaffih dauda, yaani awe anajua michezo inaendaje duniani.

Hahahaaa kwa hiyo uchambuzi wa michezo ndo michezo yenyewe siyo? Haya uneeleweka Shaffih!!!
 
Duuu Shaffii Dauda awe Waziri wa michezo?!!! Kweli unatumia masaburi kufikiri.

Usikurupuke soma vizuri , mfano wa kina shaffih dauda yaani anejua michezo inaendaje duniani.
 
Hayo ni maoni yako. Japo nakuunga mkono kwa Mhongo.
 
Duuu Shaffii Dauda awe Waziri wa michezo?!!! Kweli unatumia masaburi kufikiri.

akili yako ni finyu n elimu uliyosoma haijakukomboa. Huwezi kumtukana mwenzio namna hiyo. Kusema akili yako finyu maana yake we hujui kuwa rais ana nafasi ya kuteua wabunge? mf.mbatia,muhongo na asharose hawakuwa wabunge wa kuchaguliwa bali wakuteuliwa.Kwa maoni ya mtoa mada yupo sahihi kabisa na Shaffi Dauda huo ni mfano tu ila maana yake atafutwe mtu anayejua ABC za michezo.Hivyo unapotaka kuchangia fikiri mara2 chakuandika na sio matusi.
 
hatukatai kuwa muhongo ni msomi aliyebobea katika fani yake, tatizo la yule bwana ni dharau kwa wantanzania wenzake ambao hawajasona kama yeye, ataki ushauri wa wenzake, ana dharau ya asili ya kwao yenye chembechembe za ubaguzi, aliwai kusema yeye c mwanasiasa bali ni mtendaji lkn alisahau kuwa hakuna utendaji kama hamna watu, kama unakumbukumbu vizuri wkt akiwa waziri ilikuwa ni ngumu sana kumuona au kumpata ofisini kwake, yaani ofisi ya serekali aliifanya kama yake binafsi, ana kawaida kuongoza wizara kama vile ni familia yake, najua we mleta mada unampenda sana lkn kwa ukweli huyu jamaa ana mapungufu mengi sana,
ebu fikiria we waziri unagombana na wawekezaji wa ndani ambao wana mchango mkubwa ktk taifa hili kwa kutoa ajira za watu wengi sana wanaolipa kodi na kupatikana mishahara ya watumishi wa serekali,
kwa kifupi ni mbinafsi
 
Huyu jamaa anakiburi sana hata alivyoshinda sijui ametumia mbinu gani
 
Tatizo lenu mnataka viongozi legelege ambao wanawachekea chekea tu. Akiwa na kiburi na jeuri ndio itafanya mafisadi na wapenda dili kukaa nae mbali kabisa. Watanyooka. Unataka awachekee chekee ili upate nafasi ya kumrubuni? Au kumpa rushwa? ?
Watu wa dizaini hii ndio haswa wanafaa kusukuma taifa hili liende kwenye uchumi wa kati! Kuchekeana chekeana kutaturudisha nyuma. Huu sio muda wa muchekacheka tupo nyuma sana na tumechelewa kimaendeleo. Kaza uzi mzee Muhongo.
Mimi nakukubali na hata wenzetu wengi wa upinzani wanakukubali. Mafisadi walikushindwa ndio maana walikuundia zengwe, lakini nashukuru serikali ilikusafisha.
 
hatukatai kuwa muhongo ni msomi aliyebobea katika fani yake, tatizo la yule bwana ni dharau kwa wantanzania wenzake ambao hawajasona kama yeye, ataki ushauri wa wenzake, ana dharau ya asili ya kwao yenye chembechembe za ubaguzi, aliwai kusema yeye c mwanasiasa bali ni mtendaji lkn alisahau kuwa hakuna utendaji kama hamna watu, kama unakumbukumbu vizuri wkt akiwa waziri ilikuwa ni ngumu sana kumuona au kumpata ofisini kwake, yaani ofisi ya serekali aliifanya kama yake binafsi, ana kawaida kuongoza wizara kama vile ni familia yake, najua we mleta mada unampenda sana lkn kwa ukweli huyu jamaa ana mapungufu mengi sana,
ebu fikiria we waziri unagombana na wawekezaji wa ndani ambao wana mchango mkubwa ktk taifa hili kwa kutoa ajira za watu wengi sana wanaolipa kodi na kupatikana mishahara ya watumishi wa serekali,
kwa kifupi ni mbinafsi

Tunataka umahiri wa mtu bnafsi hayo mengine waachie walioko saluni
 
Ni uhalisia sasa watu wamemkubali kua ni jembe prof muhongo baada ya kutokuwepo kwa kipindi kifupi tu, utofauti umeonekana.
Mpaka sasa tunakuomba magufuli huyu jamaa awe waziri mkuu au waziri wa nishati nafikiri halina wakulipinga hili, hata wale waliokua wakikusema sasa wamekubali kwamba ulifanya kazi kubwa wala haukua waziri mzigo.
Nakushauri raisi mpya katika balaza lako usiweke watu wafuatao;
- Watu ambao hawaja maliza starehe.
- watu ambao hawana uzoefu eti atajifunzia huko huko.
- jitahidi uweke kila waziri na fani yake aliosomea ni vigumu kudanganywa.
- usiweke marafiki.
-wizara ya ujenzi weka engineer sio mwana siasa.
- katika wizara uliotoka badilisha mameneja wote wa mikoa ili kuleta ufanisi zaidi.
- ktk michezo tafuta mchambuzi wa michezo mteue awe wazir ili kuondoa siasa kwenye michezo mfano wakina shaffih dauda, yaani awe anajua michezo inaendaje duniani.

Haki ya Mungu nimezishangaa sana akili za watanzania!
Yaani maESCROW wote wamerudishwa Bungeni isipokuwa Comrade Kafulila mwibuaji wa sakata hilo ndiyo kapigwa fitina ili asirudi Bungeni ambako mapanya wanakusudia kujitawala sasa! Siyo siri ndiyo maana hata waangalizi wa Uchaguzi wetu wameondoka wakitushangaa sana!
 
Hana lolote huyu.
Katika sakata la escrow alizungumza pumba kwa masaaa mawili akitetea ufisadi wa escrow.
 
Back
Top Bottom