Prof. Muhongo -> SYMBION -> Kikwete ->

Status
Not open for further replies.
Wakuu,

Kuna sekeseke linaendelea chini kwa chini ambalo likifumuka linaweza kupelekea Prof. Muhongo kuhamishwa Wizara au kupoteza nafasi yake.

Kifupi ni kuwa jamaa kaingilia maslahi ya wakubwa na kwa sasa mambo si mambo. Tutayasikia ya kusikika muda si mrefu.

Nimeandika ili wajue tayari tumejua, tuna taarifa za ndani zaidi na tunafahamu kinachoendelea kati yetu na wamarekani.

Ni kwanini Walimtoa CHUO KIKUU akifanya kazi bila Tatizo; Kumpa WIZARA bila Masharti sasa kama hao Wakubwa walikuwa

Na Makampuni kwanini Wasiyaendeshe kiuhalali? Waache Wapatwe na huo Msukosuko yeye sio Mwanasiasa atarudi CHUONI

Yeye sio kama kina Lowassa, Kikwete, na wengine wanaolala kwenye siasa na kuchota huko
 
Kwa serikali iliyojaa wababaishaji kama ya kwetu, hata akitokea mtu muadilifu namna gani lazima atapigwa vita tuu. Na kama kweli Prof Muhongo amedhamiria kuleta mabadiliko ya kweli hapo wizarani kwake, i doubt kama atadumu muda mrefu. This country is rotten to core leadership-wise! Na kama ni injini ya gari basi inahitaji overhauling na sio kubadili badili spare parts.

Nakubaliana na wewe 100%. Sasa basi kuoverhaul injini ni lazima CCM iondoke la sivyo tunapoteza muda.
 
Namshauri Professor Muhogo arudi haraka chuoni since he has nothing to loose. Kwanza hajajikomba kwa yeyote kupewa uwaziri. Awaachie uozo wao akafundishe kwanza wanafunzi wake wanamsifia sana. The system is just too hypocritical evil deeds from left to right till when? Disgusting!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hata mie nasubiri sana nione atacope vipi na 'system' iliyopo.

Lakini naona ameshaanza kufanya baadhi ya mambo, maana kuna regulations mpya zimeanza kutumika kuanzia July ambazo malipo ni maradufu, sijajua na mirahaba kama imeongezeka.

Lakini kwenye mikataba iliyokwisha sainiwa sijui kama kuna analoweza fanya sana zaidi ya kuomba majadialiano yaanza upya.

Ngoja tuone zaidi. . .
 
Mkuu I appreciate your input,let's wait and see!

Unaweza kutupa a hint on those new regulations?thanks in advance.
 
Wakuu,

Kuna sekeseke linaendelea chini kwa chini ambalo likifumuka linaweza kupelekea Prof. Muhongo kuhamishwa Wizara au kupoteza nafasi yake.

Kifupi ni kuwa jamaa kaingilia maslahi ya wakubwa na kwa sasa mambo si mambo. Tutayasikia ya kusikika muda si mrefu.

Nimeandika ili wajue tayari tumejua, tuna taarifa za ndani zaidi na tunafahamu kinachoendelea kati yetu na wamarekani.
We ni kanjanja nn, mbona habari yako ya udaku maana haina fact kabisa.
 
Weka vitu mkuu! Prof. Mcassava wewe unafaa sana, jembe lenye kuchapa kazi nakuomba tu uwe makini wasije wakakulimboka au kukumwakyela.....

Siyo Muhogo, ni Muhongo. Tafadhali usije ukakutana naye halafu ukamwita hivyo, anaweza akadhani kuwa unamtania.
 
Nchi hii wataalamu wamekuwa ni kafara wa wanasiasa...Prof. keshaanza kukumbana na akina ZITTO (mara sipendi ujinga wako, pambana na mimi mwisho tuone ni nani atashinda). Kati ya ZITTO na Prof. ni nani twaweza muita mjinga (japo ujinga ni indefinite) katika maana rahisi?
Ama hakika nchi hii inavuna matunda ya upu----mb--avu wa wanasiasa.
Prof. wakikuzingua (hasa hawa ambao wanakuzunguka kwani walishasign mikataba toka wakiwa mawaziri na sasa wapo magogoni wanatupiga changa la macho) achana nao rudi UN ama UDSM wape watoto wetu maarifa ili siku moja tuwe na wataalamu kama wewe pale tutakapoikomboa nchi na kuiweka mikononi mwa VIPANGA na si VILAZA wa sasa aka THE COCONUT REGIME
 
Dawa ya kusavive kwenye Chama Kigumu ni kusimamia hoja yako na sio matakwa ya mtu hata kama mtu huyu ni JK mwenyewe. Kitakacho mfanya Prof. aendelee kuongoza wizara hiyo ni hicho tu. Awatumie wataalam wake vizuri na apime hoja zao then atoe maamuzi ambayo roho yake imeridhika nayo.
 
watafichuka mpaka masaburi yataonekana hadharani siku moja mwangaza utaimulika nchi hii, yeye alifikiri kila mtu aweza kuwa kibaraka.we ngoja tu anafanya dili za kitoto na mwisho wa siku ataadhirika, mungu hamfichi mnafiki.halafu ukipewa dodoso ukaambiwa subiri we subiri tu kaka yana mwisho haya.
 
na ndio maana viongozi wengi wa kiafrika hupenda kuwaweka watu wao madarakani kwa sababu ya mambo kama haya ya miradi miradi wakiwa madarakani kitu ambacho naamini hata jk kinamuumiza sana kichwa.ndio maana nasema mungu hatakawia kumuumbua mtu haya tumeanza kuyaona pale tulipoambiwa tuwaache maraisi wastaafu wapumzike ila safari hii ****** ankwisha hawezi kubaki salama kama sio leo basi hata kesho ama sivyo haka kanchi katapasuka anayeona mbali ataelewa nasema nini.
 
Serikali ya Magamba ilivyo corrupt, wakiona wanaeletewa viongozi ambao siyo wanasiasa, wachapakazi na wasiopenda rushwa, hii ndo tatizo sasa. Serikali ya kisanii haiwezi kukubali kuwa na watu makini kwani wanatanguliza matumbo mbele bila kujali wananchi. Prof. Komaa nao mpaka kieleweka hata wakikutimua wape kubwa tu, utazidisha heshima yako, kamwe usirudi nyuma!

Na ukilainika tu, ukaanza kula nao, wanakuvizia na kukutosa, na mahakamani ndo kutakuwa kwako! Watch out!
 
Wakuu,

Kuna sekeseke linaendelea chini kwa chini ambalo likifumuka linaweza kupelekea Prof. Muhongo kuhamishwa Wizara au kupoteza nafasi yake.

Kifupi ni kuwa jamaa kaingilia maslahi ya wakubwa na kwa sasa mambo si mambo. Tutayasikia ya kusikika muda si mrefu.

Nimeandika ili wajue tayari tumejua, tuna taarifa za ndani zaidi na tunafahamu kinachoendelea kati yetu na wamarekani.

Hivi kabla hajateuliwa ulikua unamfahamu? unajua mahusiano yake na aliyemteua?
 
zomba-m=? yaani wewe mleta hnja yuko sirious na issue kama hii af we unaanza kuleta utaarabu cjui ushostito wako hapa senzi unaumwa magamba ndo maana huwa unakurupuka. Swala la kuitetea nchi wewe nye wakupewa au ni wale masalia wa wasomali wanaotaka kwenda south afrika. Jenga nch yako nape we!

Bora umeliona hilo mkuu!yaan ZOMBA kweli hamnazo watu wanajadili mambo ya kitaifa unaleta taarabu hapa,ama kweli pwani ni janga!ss hapa cdm imeingiaje?badirika kijana
 
SYMBION powered by CIA na project za umeme wa vijijini wapi na wapi?. Hilo ni changa la macho, tutasubiri mpaka dakika ya mwisho. Viongozi wa Tanzania wengi mbumbumbu, someni CIA proposed world order after cold war.Hali tuliyonayo Tanzania ni mbaya kuliko tunavyoifilia, nchi imefika hatua haijui hata adui wake halisi ni nani, maadui wanakumbatiwa na viongozi wenye nyadhifa nyeti kabisa, lazima tuvune mabua
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom