kitambiheshima
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 452
- 116
Ndugu zangu watanzania wenzangu, tunaweza kusema chochote na lolote juu ya Prof. Muhongo. Tunaweza kukubaliana na mapendekezo ya PAC ya kutaka atimuliwe kwenye nafasi anayoitumikia. Ni sawa kwakuwa wengi wetu tumeaminishwa hivyo. Waswahili wana usemi usemao ukitaka kumpiga mbwa mwite kwa jina lake ili usimwonee huruma. Prof.Muhongo kiukweli anazushiwa tu, hakuna mahali ripoti ya CAG imeonesha Muhongo kuchukua hata senti tano ya escrow lkn jamaa walivyomkomalia!!.
Kama kilivyosema hapo juu, ninarudia kwamba tunaweza kumfanya lolote Prof. Muhongo lakini tujue kuwa yeye ni kama shilingi inayochewa kwenye tundu la choo!
Siku si nyingi mara baada ya kupoteza uwaziri, tutaanza kusema bora Muhongo, bora Muhongo. Itakuwa too late! Muhongo. Mimi nasema, tumpe nafasi nyingine Muhongo