Prof. Muhongo ateuliwa kuwa Mshauri Mkuu FEMATA

Prof. Muhongo ateuliwa kuwa Mshauri Mkuu FEMATA

Nawasikitia Femata! Hawajui huyo mjamaa ni fisadi na mwizi aliyebobea baada ya kupata mafunzo name ccm?
 
Ndiyo ni kweli alionewa na hajapata hats huo mgawo wa escrow. Tz hatujali eataalamu wetu na tunatetemekea wazungu na wachina kwenye kila nyanja.

Uliwahi kusikia neno uwajibikaji with reference to utumishi wa uma?
 
Hivi nani anabisha kuhusu ukali wa CV ya Prof Muhongo? Jamaa yuko vizuri ila sio mwanasiasa. Hakuzijua siasa za nchi hii. Na huwezi kuwa Waziri wa CCM ukapona kuchafuka. So awe na vyote 1,000 ila pale alichemka/alichemshwa na CCM yake
 
federation of miners association of tanzania (femata) kwa kauli moja wamemteua prof sospeter muhongo kuwa mshauri mkuu wao. Femata ilifikia uamuzi huo (28.02.2015) kwa kuzingatia elimu, maarifa, uzoefu, uwezo, uadilifu na uzalendo wake.

Prof muhongo ndiye aliyetengeneza ramani ya kisasa ya jiolojia na madini ya tanzania (2004) kwa kushirikiana na rafiki zake wa ufaransa. Tanzania haikutoa malipo ya aina yo yote au kupewa mkopo kutengeneza ramani hiyo.
huko ndio kunamfaa...
Kwenye unafiki alikuwa anjipotezea muda tu.
Nashauri abakie hukohuko mpaka mwisho wake
 
Hivi nani anabisha kuhusu ukali wa CV ya Prof Muhongo? Jamaa yuko vizuri ila sio mwanasiasa. Hakuzijua siasa za nchi hii. Na huwezi kuwa Waziri wa CCM ukapona kuchafuka. So awe na vyote 1,000 ila pale alichemka/alichemshwa na CCM yake
na cv ya prof LIPUMBA umeisoma? isome afu nitajie hapa bongo nani mwenye nayo kama ya PRO LIPUMBA?
 
Federation of Miners Association of Tanzania (FEMATA) kwa kauli moja wamemteua Prof Sospeter Muhongo kuwa MSHAURI MKUU wao. FEMATA ilifikia uamuzi huo (28.02.2015) kwa kuzingatia elimu, maarifa, uzoefu, uwezo, uadilifu na uzalendo wake.

Prof Muhongo ndiye aliyetengeneza Ramani ya kisasa ya Jiolojia na Madini ya Tanzania (2004) kwa kushirikiana na rafiki zake wa Ufaransa. Tanzania haikutoa malipo ya aina yo yote au kupewa mkopo kutengeneza Ramani hiyo.
Wizi wa wawekezaji wa madini Mwongo haumuhusu?
 
Hivi nani anabisha kuhusu ukali wa CV ya Prof Muhongo? Jamaa yuko vizuri ila sio mwanasiasa. Hakuzijua siasa za nchi hii. Na huwezi kuwa Waziri wa CCM ukapona kuchafuka. So awe na vyote 1,000 ila pale alichemka/alichemshwa na CCM yake

na cv ya prof LIPUMBA umeisoma? isome afu nitajie hapa bongo nani mwenye nayo kama ya PRO LIPUMBA?
YAANI kwa ukali wake mpaka CCM wamegoma kuitumia....dadadeki.....
 
Jambazi ni jambazi hata uwe na digrii 800.ang'olewe tu.hatumtaki akafie mbele
 
Wizi wa wawekezaji wa madini Mwongo haumuhusu?

Hiyo sio hoja,wizi wa madini is due to systematic failure wala aihusiani na Mhongo. The whole system is flawed and corrupt and it will take the whole systematic and structural overhauling to make things work.
 
Duh... Kutoka uwaziri wa nishati na madini hadi ushauri mkuu wa wachimbaji madini, ni bora kwa mfanyabiashara wa juisi na soda kumiliki leseni za uchimbaji gesi.
 
Muhongo ni mtu safi.hata wewe unajua hilo, jikomboe mzee acha.kuwatumikia hao mabwana wanaokutumia

usafi wake ni pale alipokubali kuumia lakini asitowe siri za kikwete,wacha aendelee kushuka chart,na kama ni msafi si arudi huko ulaya akafanye kazi za jiolojia yake....
 
Hiyo sio hoja,wizi wa madini is due to systematic failure wala aihusiani na Mhongo. The whole system is flawed and corrupt and it will take the whole systematic and structural overhauling to make things work.
We nawe unaa matatizo yako,nimemlaumu wapi huyo Profesa wako wa MAWE?
 
Back
Top Bottom