magistergtz
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 282
- 56
Dhambi nyingine ni kutetea escrow huku akijua kuna ufisadi badala ya kusema ukweli
Hafai huyu jamaa. Kuwapa waTanzania fursa sawa na wageni wakati rasilimali ni za waTanzania ni kosa kubwa ambalo halifanyiki nchi nyingine. Hafai jamaa
Kwa hiyo ameshuka kiasi hiki.Kutoka kuongoza wizara hadi kuongoza NGO
Federation of Miners Association of Tanzania (FEMATA) kwa kauli moja wamemteua Prof Sospeter Muhongo kuwa MSHAURI MKUU wao. FEMATA ilifikia uamuzi huo (28.02.2015) kwa kuzingatia elimu, maarifa, uzoefu, uwezo, uadilifu na uzalendo wake.
Prof Muhongo ndiye aliyetengeneza Ramani ya kisasa ya Jiolojia na Madini ya Tanzania (2004) kwa kushirikiana na rafiki zake wa Ufaransa. Tanzania haikutoa malipo ya aina yo yote au kupewa mkopo kutengeneza Ramani hiyo.
unafikiri ungesema nini zaidi ya hivi ulivosema!!!! huna jibu zaidi ya utumboHiyo cv aitumie akiingia ikulu miaka 2000 ijayo, kwa sasa aitumie kwwnye maandamano
Escrow