Prof. Muhongo ateuliwa kuwa Mshauri Mkuu FEMATA

Prof. Muhongo ateuliwa kuwa Mshauri Mkuu FEMATA

Nawasikitia Femata! Hawajui huyo mjamaa ni fisadi na mwizi aliyebobea baada ya kupata mafunzo name ccm?

Ehhh umefurahi sana kuona post ya muhongo hahhahaa basi sawaa kachukue hela kwa bwana wako sasa mana ushaingiza siku
 
Mwizi tu huyu..femata na mewata wote sawa tu

Aisee.we ni mmoja wa waliohodhi leseni za madini nini, kama mwizi mpelekeni tume ya.maadili au.mahakamani badala ya kutolea stress humu
 
Ajui tu kwamba, sheria ya utumishi wa umma hairuhusu, atabanwa nayo kama inavyomtokea change sasa.

Aisee kumbe uelewa mdogo tu wa kuchanganua mambo huna, haya endelea kuishi kwa vichwa vya magazeti
 
Hahitaji msamaha jamaa anachanja mbuga.nyie.endeleeni na majungu,.by the way, vipi zzk mnamsaidiaje, mana hela zote mlizompa ili.kumchafua muhongo zinammaliza sasa

Hivi kutoka kuwa kiongozi wa wizara kama waziri halafu ukaenda kuwa kiongozi wa NGO huko ni kuchanja mbuga? Nilidhani kuchanja mbuga ni kutoka cheo cha chini kwenda cha juu. Au hiyo NGO ni ya ulimwengu mzima yaani nchi zote ulimwenguni ndio labda ionekane kubwa kuliko wizara ya nchi moja?
 
Hiyo ndiyo shughuli yake...siasa awaachie wanasiasa haiwezi
 
Hivi kutoka kuwa kiongozi wa wizara kama waziri halafu ukaenda kuwa kiongozi wa NGO huko ni kuchanja mbuga? Nilidhani kuchanja mbuga ni kutoka cheo cha chini kwenda cha juu. Au hiyo NGO ni ya ulimwengu mzima yaani nchi zote ulimwenguni ndio labda ionekane kubwa kuliko wizara ya nchi moja?

Hicho ni kijinukta tu katika kazi anazofanya kimataifa, we mwanasiasa nini? Ndo mana mnafikiri mmemkomoa kwa kumuundia majungu kwenye uwaziri hahahaha! Hebu jisumbue kidogo tu google muhongo, usibweteke kutafuta habari.kwenye.watsap unatuaibisha bana hahahahahhaha
 
Sijaelewa unachomanisha! Hairihusu nini?

Sheria ya utumishi wa UMA inazuia mtumishi wa serikali kutumia influence aliyojipatia wakati wa utumishi wake serikalini kujipatia kipato baada ya utumishi wake.

Chenge anatuhumiwa kufanya kazi ya utaalamu wa kisheria kwa IPTL mara tu baada ya utumishi wake kama mwanasheria wa serikali.

muambie muhongo aliangalie hilo tu,ama sivyo tunamtakia kila la kheri.
 
Chenge kichwa, Tibaijuka kichwa, Muhongo kichwa and the list goes on...could ufisadi be directly proportional to kichwa? May be only in Tanzania! One thing I know for sure, vichwa and siasa, just like oil and water cant mix that easily; one will always stay on top and there are numerous examples to date.

Kichwa
yeyote yule anayekimbilia siasa ni kichwa feki, na ukifuatilia historia yake utakuta kafaulu ukichwa ukubwani. Waliokuwa vichwa toka utotoni hawawi wana siasa, they are way way above that category. They would rather die poor than stoop so low as to be at a politician's beck and call instead of vice versa.
 
Sheria ya utumishi wa UMA inazuia mtumishi wa serikali kutumia influence aliyojipatia wakati wa utumishi wake serikalini kujipatia kipato baada ya utumishi wake.

Chenge anatuhumiwa kufanya kazi ya utaalamu wa kisheria kwa IPTL mara tu baada ya utumishi wake kama mwanasheria wa serikali.

muambie muhongo aliangalie hilo tu,ama sivyo tunamtakia kila la kheri.

Muhongo kateuliwa kwa uwazi, FEMATA wanafuata taratibu na Kanuni za nchi, kwahiyo kwa Muhongo sio tatizo kabisa.
 
Hafai huyu jamaa. Kuwapa waTanzania fursa sawa na wageni wakati rasilimali ni za waTanzania ni kosa kubwa ambalo halifanyiki nchi nyingine. Hafai jamaa
 
Back
Top Bottom