Prof. Muhongo ateuliwa kuwa Mshauri Mkuu FEMATA

Prof. Muhongo ateuliwa kuwa Mshauri Mkuu FEMATA

Okay, wewe wasema.

Hapana, sijui hilo.

Nijikomboe? Kwa vipi?

Mimi sijamtetea mtu, sasa natumiwaje? Kwa upande wako mbona iko kazi! Bila shaka leo hutoki humu! Nakutakia utetezi mwema...kwaheri.

Muhongo ni mtu mwenye dharau sana na siasa haiwezi kabisa
 
Wewe ndo mwenye mentality hiyo,umesema.kuwa nimeingia choo sicho, na mimi kidume naingia choo cha kiume, kwa hiyo nimekuomba tu.msamaha mzee kwa kukufuata kikeni.

Mmeshatoka ktk mada mnaingia kwenye nini tena?
 
Hebu google.cv yake mzee, hayo ya.kuchora ramani ameyafanya.sana tena kwa mafanikio, hata.huko waliklomteua.wanajua jamaa ni kichwa, hujiulizi.kwa nini wasikuteue wewe? Oohh nimesahau.kumbe.kuna watu washakuteua kusuka majungu! Hongera

Ukichwa wa mtu ndio utumike kufisadi nchi? Hata kama ana cv kushinda ya Mugabe kwa muadilifu yeyote hata ukidhulumu buku ya mlala hoi huna maana na li cv lako. Unajua uzito wa 1.6b:what:

Btw unajua cv ya Andrew Nyoka mwenye malolo?
 
Federation of Miners Association of Tanzania (FEMATA) kwa kauli moja wamemteua Prof Sospeter Muhongo kuwa MSHAURI MKUU wao. FEMATA ilifikia uamuzi huo (28.02.2015) kwa kuzingatia elimu, maarifa, uzoefu, uwezo, uadilifu na uzalendo wake. Prof Muhongo ndiye aliyetengeneza Ramani ya kisasa ya Jiolojia na Madini ya Tanzania (2004) kwa kushirikiana na rafiki zake wa Ufaransa. Tanzania haikutoa malipo ya aina yo yote au kupewa mkopo kutengeneza Ramani hiyo.

cc; Reginald mengi & Co.
 
Last edited by a moderator:
...inasemekana aliitumia hiyo ramani vibaya na kwa maslahi binafsi hadi ikapelekea yeye kuwa waziri...
 
Muhongo ni kichwa yule jamaa sema siasa za kinafiki zimemkost Tanzania

Regardless of taaluma, usomi, kujua mambo. Kilichomkosti Muhongo ni kukosa uadilifu. Na mtu asiye muadilifu hafai kuwa kiongozi hata chembe. Ok assuming Muhongo hakupewa mgao wa escrow kwa nn alikuwa anautetea uchafu ule? Kwa nn asingesimama na kuhesabiwa kuwa hii ni dili mm sihusiki ila kuna ufisadi hapa. Watanzania si mabwege, mbona Prof. Mwandosya pamoja na kuwa alikuwa waziri husika wakati wa ununuzi ndege ya raisi hahusishwi na wizi ule? Ina maana watanzania wanamuogopa au? Ni kwa nn Muhongo anaonekana kuhusika moja kwa moja kwenye hili?
 
Prof Muhongo ni jina kubwa sana na linaloheshimika kwenye Geological Societies duniani.
 
ndiyo ni kweli alionewa na hajapata hats huo mgawo wa escrow. Tz hatujali eataalamu wetu na tunatetemekea wazungu na wachina kwenye kila nyanja.

yeye mwenyewe alikuwa na dharau kwa waswahili pamoja na uswahili wetu kuwa tunapenda sana kuongea na unafiki lakini yeye kutuambia na kumbukumbu ibaki kwenye hansard kuwa tukauze juisi gesi ni mziki mzito kuteuliwa femata naomba hiyo ngo igeuke iwe ni females mamas tanzania association
 
Regardless of taaluma, usomi, kujua mambo. Kilichomkosti Muhongo ni kukosa uadilifu. Na mtu asiye muadilifu hafai kuwa kiongozi hata chembe. Ok assuming Muhongo hakupewa mgao wa escrow kwa nn alikuwa anautetea uchafu ule? Kwa nn asingesimama na kuhesabiwa kuwa hii ni dili mm sihusiki ila kuna ufisadi hapa. Watanzania si mabwege, mbona Prof. Mwandosya pamoja na kuwa alikuwa waziri husika wakati wa ununuzi ndege ya raisi hahusishwi na wizi ule? Ina maana watanzania wanamuogopa au? Ni kwa nn Muhongo anaonekana kuhusika moja kwa moja kwenye hili?

Mbona Rais Kikwete naye alisema kama alivyosema Prof Muhongo
 
prof muhongo ni jina kubwa sana na linaloheshimika kwenye geological societies duniani.

vilevile kuna watu wanamajina kwa kuuza togwa ya ulezi na juisi lakini hawataki hata unyumba kumi siasa sio mchezo ndio maana ukiwa mwizi mnafiki mjivuni kwenye siasa unaumbuka tu na huyu yamemkuta kama yaliwakuta wauza juisi kwenye anga za gesi wanasiasa wamempa somo lake naye akachoronge mawe milimani
 
Federation of Miners Association of Tanzania (FEMATA) kwa kauli moja wamemteua Prof Sospeter Muhongo kuwa MSHAURI MKUU wao. FEMATA ilifikia uamuzi huo (28.02.2015) kwa kuzingatia elimu, maarifa, uzoefu, uwezo, uadilifu na uzalendo wake. Prof Muhongo ndiye aliyetengeneza Ramani ya kisasa ya Jiolojia na Madini ya Tanzania (2004) kwa kushirikiana na rafiki zake wa Ufaransa. Tanzania haikutoa malipo ya aina yo yote au kupewa mkopo kutengeneza Ramani hiyo.

BRAVO FEMATA. katika maamuzi ya kisiasa yaliyojaa upumbavu mwingi mojawapo nililoliona lilikuwa lile la kumfuta kazi Mtaaluma wa Jiolojia aliyekuwa kwenye nafasi ya sahihi kabisa, eti kukidhi UPEPO wa kisiasa. Unajua Kikwete alifanya mambo sahihi mawili ambayo alitakiwa kukomaa nayo bila kujali UPEPO unavyoenda: Moja ulikuwa uteuzi wa Kagasheki, pili uteuzi wa Muhongo. Sijamsamehe Rais kwa kuyumba katika hizi teuzi mbili.

Muhongo anakera watu kwa kujiamini kwake sana. Wengine wanakerwa pia kutokana na ukweli kuwa Muhongo ana majigambo. Tatizo ni kwamba Tanzania inaundwa na watu wasioheshimu vipaji vya kiakili. Tanzania inaundwa na watu wanaoheshimu watu waongo-waongo hivi, vibakavibaka hivi, matapelitapeli hivi, maboot-leakers na watu wa aina hiyo. Akitokea Mtanzania anayejiamini sana na kutaka kusimama katika ukweli, huyu maisha yake yanaingizwa katika shida mara moja. Hakuna akili nzuri katika watu wenye mamlaka za uteuzi! Muhungo na Kagasheki hawakutakiwa kuwa katika shida. Walitakiwa kupewa kazi kubwa zaidi za kujenga taifa letu. Mimi si mwanachama wa CCM, chama cha hawa watanzania wawili. Lakini namshukuru Mungu naweza kutambua watu wazuri katika chama hicho na kuwatakia kheri, kwa kuwa katika kuwatakiwa watu hao kheri, hatima yake nalitakia taifa letu kheri.

FEMATA mumefanya chaguo zuri. Mumefanya uamuzi wa busara sana. Bravo!
 
Okay, wewe wasema.

Hapana, sijui hilo.

Nijikomboe? Kwa vipi?

Mimi sijamtetea mtu, sasa natumiwaje? Kwa upande wako mbona iko kazi! Bila shaka leo hutoki humu! Nakutakia utetezi mwema...kwaheri.

Tujifunze kudhamini Watalaamu wetu. Prof. Muhongo ni mtaalamu aliyebobea kwenye fani yake, na Migodi yote inayoiona Tanzania ni moja ya kazi zake zenye ufanisi kupitia tafiti zake, kwa namna moja au nyingine.
 
Federation of Miners Association of Tanzania (FEMATA) kwa kauli moja wamemteua Prof Sospeter Muhongo kuwa MSHAURI MKUU wao. FEMATA ilifikia uamuzi huo (28.02.2015) kwa kuzingatia elimu, maarifa, uzoefu, uwezo, uadilifu na uzalendo wake. Prof Muhongo ndiye aliyetengeneza Ramani ya kisasa ya Jiolojia na Madini ya Tanzania (2004) kwa kushirikiana na rafiki zake wa Ufaransa. Tanzania haikutoa malipo ya aina yo yote au kupewa mkopo kutengeneza Ramani hiyo.

Femata wachovu huyu muhongo alinuia kuwakabidhi wageni rasilimali zetu. Na sisi alisema tukauze mbogamboga tu. Yawaje leo aonekane mali?
 
Huna mawasiliano na chama? Haahahahahahhah mbona wanakubeba sana mzee, oohh nilisahau.kumbe.kazi yako kukesha humu ukitafuta post za.muhongo.hahahahahahha

Toa jibu!matokeo ya mbezi umeyapata? 500-180. Iwe chai yako ya asubuhi
 
BRAVO FEMATA. katika maamuzi ya kisiasa yaliyojaa upumbavu mwingi mojawapo nililoliona lilikuwa lile la kumfuta kazi Mtaaluma wa Jiolojia aliyekuwa kwenye nafasi ya sahihi kabisa, eti kukidhi UPEPO wa kisiasa. Unajua Kikwete alifanya mambo sahihi mawili ambayo alitakiwa kukomaa nayo bila kujali UPEPO unavyoenda: Moja ulikuwa uteuzi wa Kagasheki, pili uteuzi wa Muhongo. Sijamsamehe Rais kwa kuyumba katika hizi teuzi mbili.

Muhongo anakera watu kwa kujiamini kwake sana. Wengine wanakerwa pia kutokana na ukweli kuwa Muhongo ana majigambo. Tatizo ni mwamba Tanzania inaundwa na watu wasioheshimu vipaji vya kiakili. Tanzania inaundwa na watu wanaoheshimu watu waongo-waongo hivi, vibakavibaka hivi, matapelitapeli hivi, maboot-leakers na watu wa aina hiyo. Akitokea Mtanzania anayejiamini sana na kutaka kusimama katika ukweli, huyu maisha yake yanaingizwa katika shida mara moja. Hakuna akili nzuri katika watu wenye mamlaka za uteuzi! Muhungo na Kagasheki hawakutakiwa kuwa katika shida. Walitakiwa kupewa kazi kubwa zaidi za kujenga taifa letu. Mimi si mwanachama wa CCM, chama cha hawa watanzania wawili. Lakini namshukuru Mungu naweza kutambua watu wazuri katika chama hicho na kuwatakia kheri, kwa kuwa katika kuwatakiwa watu hao kheri, hatima yake nalitakia taifa letu kheri.

FEMATA mumefanya chaguo zuri. Mumefanya uamuzi wa busara sana. Bravo!

Hatuhitaji viongozi wasiyo na heshima kwa wanaowaongoza kama muhongo
 
ha ha ha hapo ndio nawavulia kofia watanzania wa kati kwa kuwa wafalme wa wapumbavu, hata kama ana dhahabu is the timing okay? hivi ni stakeholder gani serious atafanyakazi na hiyo NGO? na mtashangaa wachimbaji wadogo wenye akili wakijitangazia jimbo na kuanzisha association yao? kwa nini serikali kama kweli inaamnini Muhonog was a bad influence isi block huo upumbavu wa kutumia fedha za escow kununua positions? haya ndio yaliyosababisha traders kujitoa TCCIA na hivyo kukidhoofisha chama kilichoanzishwa na mashujaa wa nchi hii walioona mbali sasa kimebakia kijiwe cha watu kusubiri safari za rais za kwenda nje, wachovu, hawana hata hela ya kujisafirishia, suti zimechakaa, viatu vichafu, mara wengine wamevaa makofia zilipendwa, wakitokea kila mtu anajua wametoka taifa lililochoka watafanyabiashara gani?
 
Muhongo kichwa sana siasa chafu na mafisadi ndiyo wanamchafua.
 
Back
Top Bottom