Prof. Muhongo anatembelea nyota ya William Ngeleja

Prof. Muhongo anatembelea nyota ya William Ngeleja

Ukweli Mtupu
Mnaomtetea Muhongo leteni facts lipi jipya alilokuja nalo Prof zaidi ya vitisho tu. T?arifa ya Kamati ya Bunge PAC ilyokuwa inaongozwa na Zitto ilisema wakati wa mjadala wa escrow kwamba wakati Muhongo anamrithi Ngeleja hasara ya Tanesco ilikuwa shs 43bn tu wakati Prof anafukuzwa uwaziri hasara ya Tanesco ilikuwa imeshoot hadi shs over 460bn, mpo hapo watetezi wa prof?
 
Leteni hard facts cyo uzushi, eti mnackia! Kwani nani asiyejua kwamba Bunge la 10 lilimtia hatiani Prof Muongo kwa kusema uwongo Bungeni tena just two months tu tangu akabidhiwe uwaziri. Mambo hayo ya watu kupiga dili za mafuta aliyazua Prof ili aonekane mchapakazi Kamati Maalum ya Bunge ikamuumbua. Hata hili la watu kumwaga maji mtera mkuu wa kaya kapotoshwa tu maana Tanesco imejaa jamaa wa TISS laxima wangeishagundua.
 
Watanzania hatupendi kusoma, ukiskia propaganda tu basi hata kufuatilia kidogo hutaki ila unajifanya unajua sana. Tujifunze kufanya utafiti binafsi nakubaliana na mtoa hoja kwani amenifungua akili. Naamini ipo siku watanzania watajua ukweli kuhusu William Ngeleja.
 
Ngeleja tena?sasa tukusaidieje ndugu?kwa nini usimfuate msukuma mwenzako kule magogoni ukamueleze hizo sofa zako?
 
zahra nasubiria Maswali yako kuhusu Topic.
 
Last edited by a moderator:
Twende kwenye mada, huu ukweli nimeiweka hapa kwa maslahi ya watanzania na sio Ngeleja au Magufuli
Ngeleja tena?sasa tukusaidieje ndugu?kwa nini usimfuate msukuma mwenzako kule magogoni ukamueleze hizo sofa zako?
 
...hakuna cha ajabu alichofanya muhongo ambacho ngeleja hakufanya....tofauti yao kubwa ni kwamba ngeleja alikula hela ya escrow (proved kwenye account ya mkombozi bank)....na muhongo alijiuzulu uwaziri kwa kashfa hiyo hiyo ya escrow...lakini haikuthibitishwa alikomba escrow money...
 
Wakati Ngeleja ni Waziri wa Nishati na Madini ni Miradi IPI aliawezesha ya kuzalisha Umeme.
 
vijana wa MENGI na genge zima la kuwasafisha mafisadi wanahaha nabkila aina ya nyimbo
 
Twende kwenye mada
...hakuna cha ajabu alichofanya muhongo ambacho ngeleja hakufanya....tofauti yao kubwa ni kwamba ngeleja alikula hela ya escrow (proved kwenye account ya mkombozi bank)....na muhongo alijiuzulu uwaziri kwa kashfa hiyo hiyo ya escrow...lakini haikuthibitishwa alikomba escrow money...
 
Mbona watu hamjibu kwa facts? Binafsi namchukia Ngeleja lakini wachambuzi inafaa mmjibu mtoa mada kwa hoja sio porojo. Mimi sina hoja na SIMKUBALI Ngeleja lakini pia siwezi kumbeza mtoa mada.
 
Vipi kuhusu ule mjengo wake wenye thamani ya dolla laki nane?
 
Hakuna mpya wale vijana WA kisukuma Magufuli kawapiga chini uwaziri sababu ya ulimbukeni wao.Ngeleja, Masele na Maige, wameaibisha wasukuma badala ya kupiga Kazi walibaki ubishoo tuuuuu
 
Hakuna waziri aliyefanya kile kinachopaswa kufanywa katika nchi hii, wengi hufanya kwa wanachotaka wao au wengine na sio kinachopaswa kufanywaa!!

Hivyo hata nyerere hakufanya kilichopaswa kufanywa, labda naona Magufuli anajaribu ila kwa mbali sana kwani bado kakosea sehem nyingi na muhimu mnoo!!

Unahic nan angeweza kuyafanya yote kiusahih bila ya kukosea?
 
Tuache kujadili Ukabila
Hakuna mpya wale vijana WA kisukuma Magufuli kawapiga chini uwaziri sababu ya ulimbukeni wao.Ngeleja, Masele na Maige, wameaibisha wasukuma badala ya kupiga Kazi walibaki ubishoo tuuuuu
 
Back
Top Bottom