Prof. Muhongo anatembelea nyota ya William Ngeleja

...wewe ndie ngeleja nini??...maana tulishamsahau huyu mpiga escrow....naona umemshupalia kweli kweli...hasafishiki huyu...labda huko usukumani walikolala waliompa ubunge...huyu kanda ya kaskazini asingepata wala udiwani...
huyu Ajol naona ndiue Ngeleja mwenyewe maana analazomosha vitu ambavyo hata mwenzake kutoka usukumani (mh John Pombe Magufuli) hawezi mpa hata ubalpzi wa nyumba 10 na kwenye Kampeni HAKWENDA
  • Ngeleja na Jairo walikuwa ni watu wa dili tu na Elimu hawana kulinganisha na Waziri yeyote aliyepitia Wizara hiyo
  • Ngeleja alikuwa mhasibu wa Rostam Aziz na alipewa Wizara huyo makusudi baada ya Rostam kuukataa uwaziri akamuambia JK mchukue mtu wangu
  • Ngeleja ndiye aliyetupandishia umeme watanzania kwa ajili ya wao waendeshe mitambo yao ya mafuta na kuyaharibu mabwawa yetu
  • Ni kwa nini kapata mgawo wa ESCROW na kashindwa kuueleza kaupeleka wapi?
  • akihojiwa na Jaji ndipo alipoonesha Elimu yake kwani alisema na Zitto aulizwe mbona kapokea hela toka kwa Habinder Sigh.
  • aliweza kulazimisha migawo kwa kumpa amri Mkurugenzu Idriss Rashid wakati ni makosa kielimu (Menejiment)
ukimuona mtu anamtetea mwizi aliyetumaliza Watanzania ujue kuna walakini na Rais Magufuli ni muelewa asimchague kabisa mtu huyu popote wala si wakayi wa kubishana na ushabiki wa kitoto
 
Wanaohoji elimu ya Ngeleja ni wasiofanya research, jamaa huyu alishaandikwa sana profile yake. O'level aligonga Div one, Form 6 akapiga one, LLB na Masters degrees za UD Mlimani, Mentor wa Masters yake ni Dr Mwakyembe. Kikazi alifanya internship wizara ya Katiba na Sheria baadaye akaajiriwa kuwa lawyer wa kampuni ya kimataifa ya waingereza na wamarekani- PricewaterhouseCoopers, baadaye akawa mwanasheria mkuu wa vodacom.
 
huyu Ajol naona ndiue Ngeleja mwenyewe maana analazomosha vitu ambavyo hata mwenzake kutoka usukumani (mh John Pombe Magufuli) hawezi mpa hata ubalpzi wa nyumba 10 na kwenye Kampeni HAKWENDA
  • Ngeleja na Jairo walikuwa ni watu wa dili tu na Elimu hawana kulinganisha na Waziri yeyote aliyepitia Wizara hiyo
  • Ngeleja alikuwa mhasibu wa Rostam Aziz na alipewa Wizara huyo makusudi baada ya Rostam kuukataa uwaziri akamuambia JK mchukue mtu wangu
  • Ngeleja ndiye aliyetupandishia umeme watanzania kwa ajili ya wao waendeshe mitambo yao ya mafuta na kuyaharibu mabwawa yetu
  • Ni kwa nini kapata mgawo wa ESCROW na kashindwa kuueleza kaupeleka wapi?
  • akihojiwa na Jaji ndipo alipoonesha Elimu yake kwani alisema na Zitto aulizwe mbona kapokea hela toka kwa Habinder Sigh.
  • aliweza kulazimisha migawo kwa kumpa amri Mkurugenzu Idriss Rashid wakati ni makosa kielimu (Menejiment)
ukimuona mtu anamtetea mwizi aliyetumaliza Watanzania ujue kuna walakini na Rais Magufuli ni muelewa asimchague kabisa mtu huyu popote wala si wakayi wa kubishana na ushabiki wa kitoto

Karibu yote uliyo yaongea ni kweli
lakini naomba urekebishe hapo...Idrisa Rashid hakupokea amri ya kuleta mgawo
aliepokea amri ni Mhando....Idrisa aliuondoa mgao
ulikuja kuanza tena alipo ondoka na kuingia mhando chini ya maelekezo ya Ngeleja
 
Msisahau Ngeleja ni Advocate tangu mwaka 1998 na anamiliki Law Firm yake iitwayo Legal Clinic Advocates tangu mwaka 2002 kabla hata hajawa mbunge. Kumbukeni Ngeleja pia ana cheti cha sheria za mawasiliano kozi aliyosomea katika chuo kikuu cha Witwatersrand cha South Africa. So jamaa ni jembe la ukweli na ndiyo maana hana papara.
 
Ngeleja hajawahi kuwa mhasibu wa rostam, wala Ngeleja hajawahi kupandisha bei ya umeme. Bei ya umeme ni suala la kitaalam na linadimamiwa na Ewura, the rest ni majungu na fitna tu kwa wanaomhofu!
 
Escrow ilitumika kuwatoa kafara akina Ngeleja, Chenge na Tibaijuka. Inakuwaje aliyewapa yaani Rugemalira hana hatia halafu aliowapa watiwe hatiani? Why iwe issue wakati migao yao ililipiwa kodi? Mbona Serikali na Zitto mwenyewe hawawataji waliochota kupitia stanbic? Iweje iwe haramu kwa Chenge kulipwa na mtu binafsi lakini iwe halali kwa Tanesco kumlipa Mkono 63bn kwa issue related to escrow?
 
...wizi ni wizi tu na hauna justification....unachojaribu kufanya ni ku justify wizi....hapa umeshindwa....na naona JPM analijua hili...hawa wapiga dili wa utawala ulioondoka naona JPM amejaribu kukaa nao mbali kabisa...pamoja na kumrudisha Muhongo mnaetaka kumchafua sasa....kwa kuumizwa na yeye kuwemo kwenye baraza jipya la mawaziri wa JPM....
 
Kuhusu Rea, ni kwamba Rea ilianzishwa mwaka 2005 na ikaanza kazi rasmi April 2008 wakati waziri akiwa ngeleja. Kwenye bajeti ya mwaka 2008/09 Rea ilitengewa bil 27 kutekeleza miradi awamu ya majaribio. Kwenye bajeti ya mwaka 2011/12 Rea walitengewa bil 137 kwa ajili ya utekelezaji wa Awamu ya Kwanza. Kwenye bajeti ya 2012/13 Rea walitengewa bil 881.
 
Usituletke ushirikina wa mambo ya unajimu na Manyota yenu na mapete yenu mliokuwa mnavalishwa ya sheikh Yahaya!!! Hapa ni kazi tu!
 
Kuhusu Rea, ni kwamba Rea ilianzishwa mwaka 2005 na ikaanza kazi rasmi April 2008 wakati waziri akiwa ngeleja. Kwenye bajeti ya mwaka 2008/09 Rea ilitengewa bil 27 kutekeleza miradi awamu ya majaribio. Kwenye bajeti ya mwaka 2011/12 Rea walitengewa bil 137 kwa ajili ya utekelezaji wa Awamu ya Kwanza. Kwenye bajeti ya 2012/13 Rea walitengewa bil 881.

hongera, mwambie hatudanganyiki.
 
Promo ya nini?
Makufuli kesha kamilisha baraza la mawaziri
 
Wewe ndiye Ngeleja au unamwota Prof Muhongo au ni mpiga dili enzi za Ngeleja
Haaahaaa
 
Back
Top Bottom