Hii ndio tatizo ya vijana wengi au watu wengi wa sasa. usipokubaliana nae kwenye jambo flani au ukihoji hilo jambo unaonekana umekua bribed au wewe ni mpinzani wake. mfano ikiletwa hoja na UKAWA hata kama iko dhaifu namna gani ukiipinga unaonekana ni mwana CCM,vilevile CCm wakileta hoja humu ukaipinga unaonekana ni mwana UKAWA. This wont take us anywhere.
Sio lazima tukubaliane kwa kila jambo,wengine sisi sio maroboti tukubal tu hata kama ni ujinga. Kuna mtu humu alihoji watu wamwambie ni wapi kwenye report za PAC,PCCB au TRA zimesema Waziri MUhongo ameiba pesa au amepokea pesa za ESCROW hakuna aliemjibu,akataka atajiwe hadi ukurasa,hakuna alieweza zaidi ya kumtuhumu amehongwa. Huu ni ujinga wa kiwango cha juu sana kwa watu,kwamba ukipingana nae lazima utakua umehongwa.
Juzi wakati wa press ya Salva,aliwauliza waandishi waseme Waziri Muhongo anahusikaje kwenye escrow wakashindwa kujibu wakabakia kucheka,hii inaonyesha hata wao hawajui wanachokiandika kila siku. Waandishi wenyewe ni hawa kina
Yericko Nyerere makanjanja wanaoshindwa kumlipa mtu laki 2 zake alafu wanataka waandike humu tuchukue maandiko yao as a gospel,HAIWEZEKANI.
SASA: Wewe niambie Waziri Muhongo ameiba nini?