FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 93,232
- 109,798
Kwani JF kuna udaku tu?
Mwingi sana.
Kwani JF kuna udaku tu?
Sababu kubwa wanaandika kisiasa zaidi, mpaka waende waongeze chumvi zao kama ambavyo watakuwa wametumwa na wakubwa zao ndipo waipeleke kwa wananchi ili kuupotosha umma.
Muhongo akitoka ndo ntaamini hii si nchi.