Prof. Muhongo aita waandishi wa habari leo

Status
Not open for further replies.
Namkubali sana Prof. Hatishwi na wanasiasa hata akijiuzulu anataka afanye hivyo kwa ridhaa yake tena baada ya kuwaambia watanzania ukweli
 
Akijiuzulu Leo wakati mabadiliko ya baraza la mawaziri ni imminent itaonesha jinsi maprofesa wa nchi hii walivyo wa hovyo. Anachotakiwa na ku-hold on hadi panga limpitie vinginevyo angejiuzuru siku zile bungeni.

Lakini pia akae akijua watu watamtoa bungeni kinguvu asipojiuzuru, hii kule Ntwara tunasema ukichimama nchale, ukikaa nchale, ukilala nchale, uchiheme wala uchipumue....

Can't wait kuona Profesa anavyoondoka kwa aibu. Mzee wa Kwembe Kati nifikishie salam kwa profesa
 
Awe makini asije sikiliza maneno kumtia moyo ya kikwete kisha baadae akamgeuka kama Mama Tibaijuika alivyodanganywa
Hapana chezea MUHONGO wewe, wabaya wake wenyewe akina MENGI na vijana wake wa PAC chupi zitakuwa vimewabana kwa vile hawajui Prof. atawalipua na nini leo.
 
Kinacho udhi ni pale maisha ya wananchi na serikali yanapoendeshwa Kwa speculation. 2015 ndiyo hii tuliyonayo mkononi tusilirudie kosa LA 2005, tukifanya hivyo itatugharimu.

Tuhakikishe kuwa zile fedha zilizopitia Banki ya Stanbic tupewe orodha ya waliochotewa. Zitto analifahamu hili na ukweli ametuficha. Wengine Prof. Muhongo anataka kutetemesha ardhi Kwa kuusema ukweli Sakata mzima LA ESCROW kwenye banking ya Stanbic!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom