Prof. Muhongo aita waandishi wa habari leo

Prof. Muhongo aita waandishi wa habari leo

Status
Not open for further replies.
Sio Mengi tu hata watanzania wengi(wenye uchungu na rasilimali za nchi hii) watafurahi,dharau kwa wazawa na kuwaona akina SETH ndo bora ndivyo vilivyomfikisha hapa!!!!
prof hajaiba , Mengi ndo amemftini kwa kutumia wafa njaa wa PAC baada ya kumkatalia kuwa dalali wa vitalu vya gesi. mkuu hata hili nalo unajifanya haulijui? wacha ajiuzulu muone Mengi atakavyofurahi
 
Faiza, tatizo lako unapata usingizi kwa ulevi wa udini, unaamka na mawenge ya udini. Hii habari si udaku, bali ndio ukweli wenyewe. Subiri ifike saa 5 unihukumu kwa haki.
Mura bukeyee HAWA WANAGHASIA naona wamekuanzishia pilipili na ujio wa lishaffule hiyo soon watu watapotea humu tuulizane kulikoni....kumbe kibarua kwishney mbwewmbwe zote chali...usugu wa oooh ..tunashobo....yana mwisho tupumzike.
 
Kwani Muhongo akijiuzulu watu wanapotea, asipojiuzulu nanyi mtapotea? Ujinga huo unaousema sikutegemea uwe na akili ya topetope kiasi hiki.
 
Sio Mengi tu hata watanzania wengi(wenye uchungu na rasilimali za nchi hii) watafurahi,dharau kwa wazawa na kuwaona akina SETH ndo bora ndivyo vilivyomfikisha hapa!!!!
Mnatapatapa tu na Mengi wenu huyo, ila asifikiri sasa itakuwa kazi rahisi kwake kuwa dalali wa vitalu vya gesi.
 
prof hajaiba , Mengi ndo amemftini kwa kutumia wafa njaa wa PAC baada ya kumkatalia kuwa dalali wa vitalu vya gesi. mkuu hata hili nalo unajifanya haulijui? wacha ajiuzulu muone Mengi atakavyofurahi

hata mm nitafurahi hatuwezi kuongozwa na mwizi atembe na yesu hatumtaki,ana bahati maana aibu ambayo ange ipata bungeni asinge isahau maishani mwake,na bado msimamo ni ule ule hakuna kupiga kura ya maoni,
 
Prof.hawezi kuwaogopa watu waliobakwa gerezani hata siku moja, akijiuzulu atakuwa ameamua kutovuliwa chupi na mwanaume mwenzake bungeni, unajua wauza tigo hawaoni haya ila wewe wanayekuvulia ndiyo unabaki na aibu
 
Manyere andika kama mkongwe wa habari,naona umeandika kama umeshikiwa mtutu kichwani.
Kwa mwandishi wa habari kuwakilisha habari namna hii ni tusi kwa tasnia ya habari. Kibaya zaidi kuna makosa mpaka ya panctuation katika mada yake.
 
Kunufaisha wananchi kwa lipi? Je hujuma ya pesa za Escrow ni manufaa kwa wananchi?
usiwe mjinga wewe, watu wabinafsi kama MENGI siyo wa kuwapa nafasi katika nchi hii. Muhongo atatoka lakini atakuwa ameonesha kuwa haogopi watu wenye pesa zao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom