Prof. Muhongo aita waandishi wa habari leo

Prof. Muhongo aita waandishi wa habari leo

Status
Not open for further replies.
Kinacho udhi ni pale maisha ya wananchi na serikali yanapoendeshwa Kwa speculation. 2015 ndiyo hii tuliyonayo mkononi tusilirudie kosa LA 2005, tukifanya hivyo itatugharimu.

Tuhakikishe kuwa zile fedha zilizopitia Banki ya Stanbic tupewe orodha ya waliochotewa. Zitto analifahamu hili na ukweli ametuficha. Wengine Prof. Muhongo anataka kutetemesha ardhi Kwa kuusema ukweli Sakata mzima LA ESCROW kwenye banking ya Stanbic!

Hizi ramli ndio zinaangamiza taifa letu.
 
Mkuu, nilichofanya hapa katika vyumba vya habari tunaita shajala. Ni taarifa ya kujua leo saa 5 kuna nini kikubwa. Siwezi kuweka nyama zaidi wakati prof mwenyewe amejiandaa kufanya hivyo.

Nimekupata Manyerere,mie sio mtaalamu wa fani hiyo,hope akianza utatujazia nyama kwenye uzi.
 
Tusubiri aseme jamani ila kwa uhakika ndoo anatuaga. Msishangae akapiga chini mpaka ubunge.
 
Mengi anaingiaje hapa? kwani ndiye aliyemtuma kuiba
prof hajaiba , Mengi ndo amemftini kwa kutumia wafa njaa wa PAC baada ya kumkatalia kuwa dalali wa vitalu vya gesi. mkuu hata hili nalo unajifanya haulijui? wacha ajiuzulu muone Mengi atakavyofurahi
 
Leo Mengi atumi mtoto dukani
Ila cha moto atakuwa amekiona cha mtema kuni. Na nadhani hata Waziri atakayemrithi Muhongo ataona aibu kumpa vitalu vya gesi akawe dalali , watazania hatutamuelewa.
 
Huyo Manyerere Jackton ni kanjanja tu, mwandishi wa habari atakuja kutafuta udaku JF? Fikiri.
Inawezekana prof amemtonya wanatoka mkoa mmoja wale, na siyo wandishi wa habari wote wanatumiwa na MENGI kumchafua prof. Inawezekana kabisa ameamua akae pembeni awaachie wanasiasa na wafanyabiashara waifanye shamba la bibi Wizara ya Nishati na Madini.
 
Tusubiri aseme jamani ila kwa uhakika ndoo anatuaga. Msishangae akapiga chini mpaka ubunge.
Prof hana shida kabisaaa na msimamo wake wa kutojiuzulu alikuwa anataka kuwaonesha vibaraka wa MENGI kuwa yeye ni wa tofauti kabisa na hatishwi kijinga.
 
Hizi ramli ndio zinaangamiza taifa letu.
Mkuu, siku hizi hata wandishi wa habari wanaripoti taarifa ambazo ni ramli, jaribu kufuatilia habari za Tanzania Daima, full ramli.
 
Kinacho udhi ni pale maisha ya wananchi na serikali yanapoendeshwa Kwa speculation. 2015 ndiyo hii tuliyonayo mkononi tusilirudie kosa LA 2005, tukifanya hivyo itatugharimu.

Tuhakikishe kuwa zile fedha zilizopitia Banki ya Stanbic tupewe orodha ya waliochotewa. Zitto analifahamu hili na ukweli ametuficha. Wengine Prof. Muhongo anataka kutetemesha ardhi Kwa kuusema ukweli Sakata mzima LA ESCROW kwenye banking ya Stanbic!
Ndiyo maana watu wanaamini REGINALD MENGI yuko nyuma kwenye sakata hili, mbwembwe zote za ZITTO anajua kuhusu fedha Stanbink halafu anaficha ukweli ili iweje?
 
Faiza, tatizo lako unapata usingizi kwa ulevi wa udini, unaamka na mawenge ya udini. Hii habari si udaku, bali ndio ukweli wenyewe. Subiri ifike saa 5 unihukumu kwa haki.

Mimi siiongelei hiyo habari nimejibu post, isome ile post imeandikwaje na mimi nimejibu nini.

Mwandishi wa habari usiyeelewa hata unachokisoma? kama si ukanjanja ni nini?

Huo udini ndiyo nini? kama unamaanisha Uislam, basi utaungulika sana.
 
Faiza, tatizo lako unapata usingizi kwa ulevi wa udini, unaamka na mawenge ya udini. Hii habari si udaku, bali ndio ukweli wenyewe. Subiri ifike saa 5 unihukumu kwa haki.

Hapo ndio ukanjanja wako unapokuja,udini unakuja wapi hapa? Wewe kama ndugu yako Muhongo amekutuma kuja kupima upepo JF mpelekee ujumbe kuwa atupishe kabla tarehe 27January ama sivyo atafute mkeka wa kukalia bungeni kiti chake anapewa mwengine jumatatu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom