Prof. Mahalu apinga suala la Katiba Mpya

Besta Mlagila

Senior Member
May 29, 2018
101
191
Katika mahojiano yake na Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kipindi cha mizani ya kisiasa, wakat akichangia Professor COSTA MAHALU alieleza kuwa suala la Katiba linaweza kuwa si la muhimu kutokana na wananchi walio wengi kutokuwa na ufahamu juu ya KATIBA, ambapo alieleza kuwa "Kati ya watanzania milioni 60, sidhani hata milioni moja wanafika ambao wanafahamu Katiba ni kitu gani".

Aidha aliendelea mbele zaidi kueleza kuwa wanaohitaji suala la Katiba mpya ni kwa maslahi yao binafsi ya kutaka kuingia madarakani.
 
Hata mataga walikua wanasema chanjo haiji Tz leo mataga hao hao ndio wanashabikia chanjo.

Kila kitu kina mwisho, cha msingi omba mwisho usiwe mbaya.
 
I think priority nambari moja ianyotakiwa Kwa sasa ni kila Mtu kuisoma na kuijua katiba iliyopo na kuifanya katiba kuwa kama chakula au dawa ambayo ni lazima uwe nayo

once that is done - suala la kudai katiba mpya litakua rahisi sana

Kwa sasa tunaunga tela zaidi

katiba should be a book that everyone read
 
King'amzi changu cha Azam kimeisha na nikajikuta naangalia TBC.Jambo la kwanza walioalikwa mostly ni pro government,Lipumba,Hamadi Rashidi,Lecturer wa Udom na huo Mhalu(?).
Jambo la pili muongazaji alionekana wazi anataka majibu ya namna gani,Mwalimu Rioba hata body language ilikuwa inamsuta.kabla ya kuruhusu majibu alitoa maelezo marefu mno na kuna wakati alikuwa anakatiza.
Nilivutiwa mno na Hamadi Rashidi alikuwa anatumia lugha ya busara lakini "when you read between the lines" unamuona mtu anayetaka mabadiliko.
Mwalimu Rioba achukue muda kuangalia clips za "Hamza Kasongo hour" au Jenerali on Monday" kutoka channel ten.Atapata mawili matatu ya kujifunza.
 
..kuna wakati dr.ryoba alikuwa anaendesha vipindi vya kupinga demokrasia ya "kimagharibi. "

..kwa maana nyingine, tbc walikuwa wanapinga demokrasia ya vyama vingi.
 
Katika mahojiano yake na Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kipindi cha mizani ya kisiasa, wakat akichangia Professor COSTA MAHALU alieleza kuwa suala la Katiba linaweza kuwa si la muhimu kutokana na wananchi walio wengi kutokuwa na ufahamu juu ya KATIBA, ambapo alieleza kuwa "Kati ya watanzania milioni 60, sidhani hata milioni moja wanafika ambao wanafahamu Katiba ni kitu gani".

Aidha aliendelea mbele zaidi kueleza kuwa wanaohitaji suala la Katiba mpya ni kwa maslahi yao binafsi ya kutaka kuingia madarakani.

..kama Prof.Mahalu anadai Watz milioni 59 hawajui katiba ni kitu gani, angeulizwa kama anapendekeza tusiwe na katiba.

..as long as Tz inaendeshwa kwa katiba, basi ni lazima katiba hiyo iwe bora, na maana yake tupate katiba mpya.
 
King'amzi changu cha Azam kimeisha na nikajikuta naangalia TBC.Jambo la kwanza walioalikwa mostly ni pro government,Lipumba,Hamadi Rashidi,Lecturer wa Udom na huo Mhalu(?).
Jambo la pili muongazaji alionekana wazi anataka majibu ya namna gani,Mwalimu Rioba hata body language ilikuwa inamsuta.kabla ya kuruhusu majibu alitoa maelezo marefu mno na kuna wakati alikuwa anakatiza.
Nilivutiwa mno na Hamadi Rashidi alikuwa anatumia lugha ya busara lakini "when you read between the lines" unamuona mtu anayetaka mabadiliko.
Mwalimu Rioba achukue muda kuangalia clips za "Hamza Kasongo hour" au Jenerali on Monday" kutoka channel ten.Atapata mawili matatu ya kujifunza.
Yaani ryoba huwa anaharibu sana mijadala kwa kulazimisha hoja zinazoelekea kwenye upande anaoupenda hasa inapokua hoja za kugusa serikali. Pia naona hawa wasomi hasa wabobevu (phd na maprofesa) wengi wa kitanzania wanafiki sana kujadili masuala yanayogusa wananchi
 
UPUUZI MTUPU!!! Husubiri kuandika Katiba mpya mpaka pale Raia wengi wanapokuwa na ufahamu wa umuhimu wa Katiba mpya bali unaandika katiba mpya ili kuwapa Raia, Vyombo vya habari na vyama vya siasa UHURU, HAKI na USAWA nchini bila kujali ITIKADI za Raia, vyombo vya habari na vyama vya siasa. Katiba mpya itaondoa UDHALIMU na DHULUMA uliokithiri nchini, utahakikisha chaguzi zetu ni za HURU na za HAKI na pia vyombo vya habari vyote nchini vitakuwa HURU kuripoti chochote kile kwa faida ya raia na nchi bila ya kuogopa kufungiwa, kutekwa, kubambikiwa kesi na kuuawa kama ilivyomtokea Azory au Erick Kabendera. Tanzania kwa sasa hakuna haki kwa raia, vyama vya siasa na vyombo vya habari bali ni dhuluma na udhalimu tu. DHULUMA na UDHALIMU HUANGAMIZA Taifa na Tanzania imeanza kuangamia hakuna tena furaha, upendo na mshikamano. HAKI siku zote HUINUA Taifa.

Back
Top Bottom