mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,276
- 12,336
Mwambieni Tanzania haimhusu akomae na BBI huko Tz atuachie sisi
Jeshi lao wenyewe lilijiapiza kuwauaSasa kwanini hukwenda kutimiza hiyo haki yako sasa
Ila alipokuja kuhutubu wakati wa mchakato wa katiba mpya alikuwa genius na mwanamapinduzi anayeheshimika Afrika. Wakati ule aliikosoa CCM. Leo hii anaipongeza CCM, Watanzania na rais wao JPM amekuwa sio profesa tena na mllamba viatu. Tabia ile ile ya kupinga kila kitu na mtu anayeisapoti serikali au JPM.
Mkuu kwema tofauti ya huyu na Lipumba ninini ?Amina! Nawe pia ubarikiwe Prof.
Ha ha ha aaa !!! Mkuu hebu niache kwanza! Haya mambo yana raha zake, ni stress free! Hakuna kuumiza kichwa.Mkuu kwema tofautitofauti ya huyu na Lipumba ninini ?
Ili uonekane pro uwe unatukudha wazungu,pro wa africa ahusudu waliomtawala elimu yake haitakuwa na maana yoyote.Well said
😂😂😂Ha ha ha aaa !!! Mkuu ebu niache kwanza! Haya mambo yana raha zake, ni stress free! Hakuna kuumiza kichwa.
Ila kule kwenye serious issues za "geosecurity" ni shida! Maana unaona kabisa hapa Trump anabonyeza red button!!!
Mkuu pambana kwanza na kiswahili ndiyo urudi hapaIli uonekane pro uwe unatukudha wazungu,pro wa africa ahusudu waliomtawala elimu yake haitakuwa na maana yoyote.
KajiueHakuna profesa hapo, ni mlamba viatu asiye na chembe ya heshima!
Wewe unaweza kumdharau Prof. Lumumba kweli? Huyo ni wakimataifa na anatambulika kimataifa mkuu. Acha utopolo wako!Hakuna profesa hapo, ni mlamba viatu asiye na chembe ya heshima!
Kama huna kumbukumbu siwezi kukusaidiaWeka post ya wakati huo akikoosoa ccm ukiwa unamuunga mkono ili tujue hupingi kila kitu.
Hakuna profesa hapo, ni mlamba viatu asiye na chembe ya heshima!
Proffessorial Rubbish.Hizi ndio Salam za pongezi kutoka kwa Prof. Lumumba.
Imani yake bado ni kubwa kwa Rais Magufuli