Prof. Lumumba: Hongera Magufuli, hongera Watanzania

Ila alipokuja kuhutubu wakati wa mchakato wa katiba mpya alikuwa genius na mwanamapinduzi anayeheshimika Afrika. Wakati ule aliikosoa CCM. Leo hii anaipongeza CCM, Watanzania na rais wao JPM amekuwa sio profesa tena na mllamba viatu. Tabia ile ile ya kupinga kila kitu na mtu anayeisapoti serikali au JPM.

Weka post ya wakati huo akikoosoa ccm ukiwa unamuunga mkono ili tujue hupingi kila kitu.
 
10 November 2020
Julius Nyerere International airport
Dar es Salaam, Tanzania

Tundu Lissu - Naondoka Hapa Tanzania Hakuna Usalama


Wapambanaji wengi wa haki na uhuru waliondoka kwako kwenda kujitayarisha upya. Mfano Che Guevara, David Ben-Gurion wa State of Israel, Geoge Garang' wa SPLA wa Sudan, Vladimir Ilyich Ulyanov a.k.a Lenin of the Soviet Union, Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda , Paul Kagame RPF wa Rwanda, Samora Machel wa FRELIMO wa Mozambique, Fidel Castro wa Cuba, Eduardo Mondlane wa FRELIMO , Nelson Mandela wa South Africa n.k
Source : MwanaHALISI tv
 
Shame on you....PLO !
You shouldn't have said what you considering the dirty and Filth CCM poured on our being !
 
Mkuu kwema tofautitofauti ya huyu na Lipumba ninini ?
Ha ha ha aaa !!! Mkuu hebu niache kwanza! Haya mambo yana raha zake, ni stress free! Hakuna kuumiza kichwa.

Ila kule kwenye serious issues za "geosecurity" ni shida! Maana unaona kabisa hapa Trump anabonyeza red button!!!
 
Ha ha ha aaa !!! Mkuu ebu niache kwanza! Haya mambo yana raha zake, ni stress free! Hakuna kuumiza kichwa.

Ila kule kwenye serious issues za "geosecurity" ni shida! Maana unaona kabisa hapa Trump anabonyeza red button!!!
😂😂😂
Trump akili zake anazijua mwenyewe ataenda kucheza golf akirudi ana mkuta Biden ikulu!
 
This is not a professor. He is a pro-fedheha, a stinking bootlicker in the veil of academics.
 
Eti kampongeza mpaka Membe kwa kutoa hoja kwenye kampeni, huyo kweli ni Prof. Lumumba
 
Back
Top Bottom