Wakuu namsikiliza Prof. Lipumba sasa hivi kupitia WAPO Radio. Anasema alikuwa mwanachama wa TANU/CCM na hakuwahi kurudisha kadi yake alichofanya ni kutolipia Ada!
WAPO RADIO FM 98.0 - Dar es Salaam - Listen Online
My Take: Inawezekana Viongozi wote wa vyama vya upinzani wana kadi za Chama Tawala. Kwamba kwa sasa wao ni kama volkano iliyolala kwa kuwa tu hawalipii kadi. Hivyo wakisha lipia siku moja basi wanakuwa volkano hai!
Acha Ujinga, mbona hata mimi ninayo hiyo kadi ya CCM lakini si ilipii. Nini cha ajabu sasa.
Katiba inasema usipolipia kadi kwa muda fulani umejifuta uanachama.
Kadi bila kuilipia haimaanishi wewe bado mfuasi, mbona sisi wengine
tumetunza kadi zetu za utotoni za kuendea kliniki na haimaanishi kuwa
bado tunakwenda kliniki kupimwa uzito. Hiyo ni kumbukumbu tu...
Wakuu namsikiliza Prof. Lipumba sasa hivi kupitia WAPO Radio. Anasema alikuwa mwanachama wa TANU/CCM na hakuwahi kurudisha kadi yake alichofanya ni kutolipia Ada!
WAPO RADIO FM 98.0 - Dar es Salaam - Listen Online
My Take: Inawezekana Viongozi wote wa vyama vya upinzani wana kadi za Chama Tawala. Kwamba kwa sasa wao ni kama volkano iliyolala kwa kuwa tu hawalipii kadi. Hivyo wakisha lipia siku moja basi wanakuwa volkano hai!
mkuu hata mimi ninayo kadi ya CCM na ntamkabidhi mwanangu ajue nilikotoka!Mkuu wewe mjanja. Tatizo ni kwamba viongozi wao wanakuwa na kadi zao lakini wafuasi wao wanazirudisha na wao kuzichoma moto hadharani! Hapo ndipo penye shida. Charity begins at home, kwa nini wao wasichane za kwao wanabaki kuzikumbatia?
mkuu wewe mjanja. Tatizo ni kwamba viongozi wao wanakuwa na kadi zao lakini wafuasi wao wanazirudisha na wao kuzichoma moto hadharani! Hapo ndipo penye shida. Charity begins at home, kwa nini wao wasichane za kwao wanabaki kuzikumbatia?
bishp .acha utani mbona za wengine mnazichoma moto na kujisifu zenu za kumbkumbu.af una linganisha kadi ya chama na klinik .unalinganisha kuzaliwa na kujiunga na kujiunga na cha.muuli mama yatu kama bado mungu kamjalia uhai.mtazamo wangu tu.
Duuuu,CCM mnaogopa sana watu wanaorudisha kadi mnajua warudisha kadi wengi wao ni ccm,na mtu akirudisha kadi ya ccm siyo rahisi kuturn back tena ccm,tutaendelea kuwahimiza watu wazirudishe hizo kadi kwa wingi na kuzichoma.Mkuu wewe mjanja. Tatizo ni kwamba viongozi wao wanakuwa na kadi zao lakini wafuasi wao wanazirudisha na wao kuzichoma moto hadharani! Hapo ndipo penye shida. Charity begins at home, kwa nini wao wasichane za kwao wanabaki kuzikumbatia?