Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba na Mgombea mwenza Hamida Abdallah Huweishi wachukua fomu za kugombea Urais


HABARI: Mgombea wa Urais kupitia CUF Prof. Ibrahim Haruna Lipumba akiwa ameambatana na mgombea mwenza Hamida Abdallah wamefika tume ya uchaguzi (NEC) kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania mwaka huu.

#MchumiTufikishe
 
Ni haki yake kisheria na pengine atakuwa na sababu zake za msingi. Lakini kwa mtizamo wangu, usomi wake ulipaswa umsaidie hata kusoma alama za nyakati.

Kuna wakati wa kukumbatia na wakati wa kuacha kukumbatia, wakati wa kushikilia na wakati wa to just let go
 
Nasubiri kuona mapokezi yake Dar,Unguja na Pemba๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ


Ndukiiiii ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ
 
Nasubiri kuona mapokezi yake Dar,Unguja na Pemba๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ


Ndukiiiii ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ

Vyombo vya habari watapewa amri wasioneshe. Itakuwa ni AIBUUUUU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ