Naona huyu yuda anataka arudishiwe uenyekiti
Mkuu vipi maendeleo ya ng?ombe huko monduli, nilisikia wakati fulani mzee alivyosema kuwa kama ataukosa urais basi atakwenda kuchunga.Nadhani akinyamaza sisi wengine ambao tumeendelea kumuheshimu tutaendelea kufanya hivyo .Yeye na CUF ipi? Mtu muungwana huheshimu maamuzi ya kikatiba kupitia vyombo vya juu vya vyama vyetu vinapofanya maamuzi .
Watu wanaofahamu maana ya elimu na wanamfahamu Prof. Lipumba watakushangaa badala ya kumshangaa.Nina wasiwasi na Uprofesa wa Li
pumba
Kwa hiyo ajenda yenu ni ipi?
CCM wanakemea ufisadi.....mmeporwa hoja yenu.
ACT- utu, miiko na uzalendo
CUF- haki sawa kwa wote....hapa haki tu.
Muflisi kwa maana gani?Lipumba ndio mufilisi mwingine wa siasa za Tz...
na wewe unapenda sana uchochezi, hii ishu si naliisema kitambo ndio akajiuzulu uenyekiti wa cuf? Sasa unaipost utafikiri ndio kasema jana? Mpuuzi kweli wewe, waza maendeleo yako na ya familia yako, achana na ya wanasiasawakati akiongea kupitia azamtwo television, prof. Lipumba amesikika akisema, chadema kimepoteza dira ya kisiasa kutokana na mtafaruku uliojitokeza ndani ya ukawa baada ya kumpokea lowassa na kumfanya mgombea urais wa tanzania.
Prof. Lipumba amesema, ''sisi ndani ya cuf tunaweza kukijenga vizuri chama chetu kwa sababu msingi wetu ni kusimamia haki kwa wote lakini wenzetu wa chadema wamepoteza dira kwa sababu itakuwa ni vigumu kuzungumzia suala la mapambano dhidi ya ufisadi''.
''msingi wa sera zetu ni haki sawa kwa wote, rais magufuli anasema hapakazitu na sisi tunasema hapa ni haki tu'' alisema.
Aliendelea kusema, ''tuna mahala pazuri pa kuanzia, kutazama namna ya kuikosoa serikali katika kutekeleza hizi sera za hapakazitu, je tunalinda haki za kila mmoja wetu, tunafuata utaratibu mzuri wa sheria''
alimalizia kwa kusema, ''wenzetu chadema wamepoteza dira''.
video:
Ben SaananeMsemajiUkweli
Nadhani akinyamaza sisi wengine ambao tumeendelea kumuheshimu tutaendelea kufanya hivyo .Yeye na CUF ipi? Mtu muungwana huheshimu maamuzi ya kikatiba kupitia vyombo vya juu vya vyama vyetu vinapofanya maamuzi .
Lakini alishakiri kuwa pamoja na yote yy hakuridhika na ndio maana alijitoa uli kujiepusha na kumnadi mtuhumiwa wa Ufisadi!