mnyawusi
Senior Member
- Apr 1, 2012
- 169
- 254
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema anawasiliana na wazee na waasisi wa chama hicho Zanzibar ili kutafuta suluhu ya mgogoro uliopo baina ya viongozi wakuu wa chama hicho.
Lipumba amesema anaamini kuwa mazungumzo hayo yataweza kuzaa matunda na kurejesha hali ya kawaida ndani ya chama hicho.
Gazeti Mwananchi linaandika.
Lipumba amesema anaamini kuwa mazungumzo hayo yataweza kuzaa matunda na kurejesha hali ya kawaida ndani ya chama hicho.
Gazeti Mwananchi linaandika.