Prof. Lipumba arejea nchini

Prof. Lipumba arejea nchini

Kwenye part manifesto ya chadema hakuna kupiga vita ufisadi.tunataka consistent and sustainable policie na misingi itakayosimamiwa na chadema.iliteracy inatuua
 
Huyo Prof wa kweli maana ameweza on hatari iliyopo mbele ya Ukawa, kaona bora ajiweke kando kuliko kuidhalilisha taaluma yake kwa tamaa ya wachache, hivyo bado naona kabisa bado vyama vya upinzani hawajawa tayari kushika dola, na watazidi kuishika kwa hisia tu mpaka atapo kuwa tayari kwa kuweka wazalendo wenye nia na dhamila ya kweli na si dhamila iliyobebwa na mengine nyuma ya pazia, hongera prof. I.Lipumba na wengine wote waliona hatari kabla ya hatari
 
Karibu Prof.. Njoo umwage ukweli namna Wachaga walivyouza nchi kwa mafisadi.. Watanzania wanasubiri kauli yako msomi uliyekataa kutumika na mafisadi.

Kumbe JK nae ni mchaga wa Msoga,kauza gesi yetu kwa Mchina
 
..... Profesa Lipumba alisema alikuwa nchini humo akifanya utafiti kuona namna gani Tanzania inaweza kujifunza mambo ya kiuchumi kutokana na nchi hiyo kupiga hatua kubwa katika sekta hiyo.


DSC00026.jpg

DSC099991.jpg
watanzani sasa tunajielewa, zile zama za kutugeuza geuza umeshakwisha. Kama ulitumwa kutusambaratisha pole,sisi tunasonga mbele.
 
Lipumba anachekesha sana, anasema hakubaliani na ukawa kumpitisha lowasa wakati alikuwepo kwenye mchakato mzima, huu ni ujuha!! Mbona hakuonyesha kupinga toka mwanzo?
 
Ni heri akae pembeni ili ashuhudie vizuri UKAWA wanavyotinga ikulu kilaiini.
 
Kanu kazaa ford kenya ford asili -ukawa then orange jibilee.kwa kiyo kuhma chama ni kawaida
 
watu wazima kuwa wanafiki kama hivi wanaharibu akili za vijana nchini
 
If you fail to convince them, then confuse them! Aah Ripumbaaaah...!
 
​Njaa ikikupiga sana tumboni huamia kichwani ndo kiichomtokea huyu le professeri
 
Back
Top Bottom