JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,966
Sisi Wtz tuna matatizo. Unamkebehi lipumba unamshangilia fisadi lowassa?
Nadhani kuna sehemu kuna tatizo si bure, mwizi ni mwizi tu hata kama ni Baba yako.
Sisi Wtz tuna matatizo. Unamkebehi lipumba unamshangilia fisadi lowassa?
huyu prof lipumba nguo alikuwa amelala nazo au kakimbizwa huko maana nguo zimejikunja sana ametia aibu!
tunakomboa watanzania kutoka kwenye genge la wezi na mafisadi wa chama cha kijani.Mnakomboa nini?
Mnakomboa nini?
Tunakomboa wadogo zetu ambao mpaka karne hii hawana madawati ya kukalia shuleni.Pia na mama zetu ambao wanajifungulia chini maana hospitali za serikali hakuna vitanda.
Sasahivi ndiyo dhamira inamsuta kweli, amejichafulia sana historia yake katika mambo ya siasa.
watanzania wasiojielewa na ambao wanalazimishwa kuandamana hovyo huku wakisababisha uvunjifu mkubwa wa amani na kufanya uhalifu mitaani a.k.a panya road wa kisiasa wa chadema na ukawa.