Prof. Lipumba arejea nchini

Prof. Lipumba arejea nchini

Mahakama funga jela Pumba huyu. Kurudi kusikiliza kesi yake ya kuandamana bila kibali Mbagala. Hana maana Profesa Pumba huyu. Kafie mbele Pumba na kale bata kwa h hongo ya sisiem. Huna maana. Yaani Kukatwa Jina lako kugombea urais Imekuwa noma. Si mwana mageuzi wewe na hukubaliki.
 
Amechanganyikiwa sasa, nadhani pesa za CCM alizokula zinamsuta....na maamuzi yake ya kujiuzulu hayakuleta impact yoyote kwa CUF na UKAWA.

alisema dhamira yake inamsuta...hakuona kama chama/ukawa kilifanya/ulifanya uamuzi sahihi kwa hiyo alijuuzulu in protest...

hakuwahi kusema kuwa kwa kujiuzulu kwake basi ameachana na siasa za upinzani...

au ulitakaje mkuu???

kwa afya njema ya siasa za kupingana bila kupigana ni vizuri kuheshimu watu na maamuzi yao...!!!
 
Mahakama funga jela Pumba huyu. Kurudi kusikiliza kesi yake ya kuandamana bila kibali Mbagala. Hana maana Profesa Pumba huyu. Kafie mbele Pumba na kale bata kwa h hongo ya sisiem. Huna maana. Yaani Kukatwa Jina lako kugombea urais Imekuwa noma. Si mwana mageuzi wewe na hukubaliki.

jifunze kuheshimu mkuu...heshima ni kitu cha bure jiheshimu nawe utaheshimiwa!!!

unaonaje angekuwa ni baba yako mzazi anatukanwa ungejiskiaje...???

mna nini nyinyi vijana wa chadema...ni bangi ya arusha au tarime???
 
Lipumba umeutendea haki uprofessar wako ,ww na Dr.Slaa ndiyo wapinzani wa kweli tunawakaribisha Ccm nyumbani karibuni sana
nyumbani wapi huko mkuu? au ndio mnataka mkawasajili kwenye ile first eleven ya wezi na mafisadi wa epa,escrow,melemeta?

ila lipumba anaweza asikose namba kwenye first 11 kwa sababu team aliyokuwa nayo haina wezi lakini ameshindwa kucheza.
 
Ndugu zangu, ili nchi hii tuikomboe katika mikono ya wanyang'anyi umakini mkubwa sana unahitajika.

Niseme tu kwamba, CCM ni chama ambacho kimekua madarakani tangu uhuru wa nchi hii tangu kilipoitwa TANU. Sasa basi, si rahisi chama hichi cha kidicteta kukubali kuachia ngazi kirahisi na ukizingatia kwamba, hawakutegemea haya mabadiliko ya ghafla namna hii mithili ya gharika.

Juzi tumeona wakimtumia Mr Pumba kama walivyomtumia 2005 wakijua ungetokea mpasuko mkubwa sana UKAWA, japo MUNGU alitunusuru kwa kuwa huu ni mwaka wake. .sasa tuongeze sala na umakini kwa huu ujio wa pili ili lengo la ibilisi lisitimie...

Sasa yufanyeje? Chakufanya ni kufwatilia nyenzo na mienendo yote ya Profesa Pumba ili, asipate kabisa mwanya wa kuingiza pumba zake katika ngano, na pia tumpuuzeni huyu Pumba kwa kila pumba atakayotoa.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI UKAWA
 
Nawewe unaona umeandika point? pumba tupu na hunalolote la maana. cybercrime act inakuhusu wewe.Tungoje September. Mods futa hii post ili credibility ya jf iendelee kuwa juu.
 
Ndugu yangu mwenye point..mbona sasa umeanza kwa kutapika humu?
 
Back
Top Bottom