Mnakomboa nini?
Hebu kuweni busy na kumnadi MagufuliiiWalisema amekimbia lakini karudi sasa tuone ujinga wao watasema nini.
Slaa na Lipumba ni wasomi wanajielewa hawawezi kuendelea na hizi sarakasi za ukawa.
Enzi za lyatonga akihama chama anahama na watu
hali ni tofauti siku hizi..
Lipumba amejidhalilisha
Lipumba anatafuta maafa...!!!
Umma utammaliza...kama anasoma upepo ulivyo...akae kimyaaaa...akitoa maneno ya hovyo kuhusu UKAWA ni hatari sana kwa maisha yake...!!!
Ameshamaliza utafiti ghafla?Slaa na Lipumba ni wasomi wanajielewa hawawezi kuendelea na hizi sarakasi za ukawa.
Lipumba anatafuta maafa...!!!
Umma utammaliza...kama anasoma upepo ulivyo...akae kimyaaaa...akitoa maneno ya hovyo kuhusu UKAWA ni hatari sana kwa maisha yake...!!!
You made my day haha jamaa kama kakurupuka manguo yako hovyohovyo madhara ya kukaa mbal na wife au cjui hana mke?huyu prof lipumba nguo alikuwa amelala nazo au kakimbizwa huko maana nguo zimejikunja sana ametia aibu!