Prof. Lipumba akerwa na Zitto Mtwara

Mtahangaika sana kumchafua zitto na mada za kijinga zisizokuwa na kichwa wala miguu kama hii lakin zzk anangozi ngumu na kamwe hamumuwezi Zitto.Mada kama hizi pelekeni kwa vilaza wenzenu c humu.
 

nani kakwambia ukiwa na ngome huimarishi ngome ili iwe imara zaidi?
wewe unadhani shughuli pevu aliyoifanya Zitto Bungeni katika suala la Escrow mbele ya umma ni mtaji mdogo kisiasa?

Lipumba Mjanja alitaka kutumia nyota ya dogo kuimarisha ngome yake.
 
Hivi watu kama nyie huwa mnakula chakula gani kinawadhoofisha uwezo wa kufikiri kabla yakuropoka kwa kila jambo mnaloambiwa?
 
Hivi watu kama nyie huwa mnakula chakula gani kinawadhoofisha uwezo wa kufikiri kabla yakuropoka kwa kila jambo mnaloambiwa?

Unahangaika Bure kumpaka manukato huyo mfu.bado ana ubinafsi wa kitoto na ujanja ujanja wa kitoto! Cdm walikuwa sahihi kabisa kukitosa hicho kirusi
 
Zitto ana akili kuliko hata hao maprofesa wenu
 
Last edited by a moderator:
Mtahangaika sana kumchafua zitto na mada za kijinga zisizokuwa na kichwa wala miguu kama hii lakin zzk anangozi ngumu na kamwe hamumuwezi Zitto.Mada kama hizi pelekeni kwa vilaza wenzenu c humu.

Tueleweshe ukweli ni upi, ukipiga tararira kama hizi bila kuweka fact kama alizoweka mtoa mada unampa kichwa Sana
 
watu wa kigoma wana asili ya unafki na usaliti,sina chuki ila fanyakautafiti kadogo kama una rafiki/marafiki wa kigoma hebu wachunguze tabia zao

VIOL. SHULE ULIYOSOMA inatakiwa ifungwe NA MWALIMU ALIYEKUFUNDISHA aachishwe kazi. Kama una watoto ni hasara na wewe mwenyewe ni hasara kwa taifa. Huwezi Generalize kwa sababu ya mtu mmoja.
KASOME SAIKOLOJIA YA MAKUZI YA MTOTO labda unaweza kuelewa kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Kwenye ESROW AKAGEUKA SHUJAA WENU SIYO??

AKILI ZA NGUCHIRO HIZI

Kipi alichokifanya kwenye escrow zaidi ya ripoti iliyojaa matobo yaliyoacha maswali Mengi yasiyo na majibu mpaka sasa.
 
Sikuwahi kufikiri kijana under 40 anaweza kuwa msaliti kama huyu jamaa
 

We umefanywa kitu mbaya na cdm lazma hahahaaha sijui kihoro cha nin
 
Zitto ni joka la ndimu ila kichwa kimeshajitokeza nje ni kukitwanga tu kwa jiwe
 
Ripoti ya Tiss iliyokuwa inamuhusu Sheikh Ponda....ilishatoa majibu kwamba watu wa kigoma ni disqualified maana wengi sio watanzania ni waamiaji wakikongo,Burundi na Rwanda
Tabia yao kubwa ni umbea,uchonganishi na usaliti wapo wengi na faili zao zipo mbona...
Anaitwa zito ze dog.
 

Hapa CHADEMA imeingiaje mkuu? Acha hasira
 

Huyu dogo hana credibility ya kujiita mzalendo, ni mnafiki mwenye laana ya usariti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…