kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 6,273
- 9,584
cjapenda ulivyomtukana Zito japo cna iman nae sana lakin nae ameifanyia mengi nchi hii japo ameanguka
Last edited by a moderator:
cjapenda ulivyomtukana Zito japo cna iman nae sana lakin nae ameifanyia mengi nchi hii japo ameanguka
Mimi naamini @Zitto Kabwe huwa, unapitia hili jukwaa kwa heshima na taadhima, twambie ukwel kuhusu haya katika mkutano ulio alikwa na CUF huko Mtwara tarehe 31/12/2014
1. Je ni kweli wewe ndie ulie waleta wafuasi wa ACT toka Dar es salaam
2. Kweli walitumia gari lako kusafiri hadi Mtwara.
3. Ni kweli ulileta waandishishi wa habari kutoka ACT.
Tusubiri kauli ya Lipumba. Walikuwa wanataka kumtumia Zitto kisiasa kwa manufaa yao ya kisiasa
Rangi nyekundu kwenye bendera za cuf na chadema zinaashiria vurugu na vita
kwa nini mnakimbilia kuiamini hii habari!!!
Mkuu tafadhali sana usihamishe goli,hapa mshangao ni Zito kuleta ACT(wakati sio mwanachama),na msimamo wa ACT kuhusu UKAWA unajulikanaTusubiri kauli ya Lipumba. Walikuwa wanataka kumtumia Zitto kisiasa kwa manufaa yao ya kisiasa