gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,714
CUF haijashuka ni chama ambacho kime maintain position ile ile ya mmiaka yoteSwali moja tu la msingi?
Kwa sifa zote hizo ni nini kimefanya ushindi wake kushuka kwa kasi kuanzia 2010 na nini kimefanya chama chake kupoteza mvuto kila kukicha pamoja na uprofesa wake?
tofauti na iyo saccos ya mtei