TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,563
Wewe si upo ACT?ya UKAWA waachie wenyewe UKAWA wataamua, hayakuhusu.Mzee wenu kashindwa kazi ya mungu ataiwezea wapi kazi ya kuongoza nchi?
Akafie zake mbele huko
Wewe si upo ACT?ya UKAWA waachie wenyewe UKAWA wataamua, hayakuhusu.Mzee wenu kashindwa kazi ya mungu ataiwezea wapi kazi ya kuongoza nchi?
Akafie zake mbele huko
Mleta mada wewe ni baadhi ya watu mnaopuuzwa sana humu jukwaani kwa mitazamo yako ya udini. Unaruhusiwa kupiga debe upendavyo kwani ukawa hawana haja ya ushauri wa watu wenye mitazamo ya kidini kama ww.
Lipumba hao wachaga wa ukawa wakilikata jina lako jitoe ugombee kwa chama chako cha CUF tuh.
Hatuwez kucheza kamari na kuwapa wachaga na mapadre nchi hii.
Never.
Wewe si upo ACT?ya UKAWA waachie wenyewe UKAWA wataamua, hayakuhusu.
Najua mnachukia sana kwa kuambiwa ukweli.
Lakin ndiyo ukweli wenyewe.
Padre Slaa asahau kabisa kuwa rais wa nchi hii.
Asituletee balaa yule mzee.
Kama anabisha asubir october wala siyo mbali.
Hatujafikia hatua ya kuwa hopless kias hicho.
Wewe umevurugwa! Hatuwezi kusikiliza mazwazwa kama wewe mnao weka udini mbele! Tangu mwanzo nilijua tu kuwa umekuja na fikra za udini na bahati nzuri umekuja kuanika ujinga wako mbele ya great thinker.
Hapo ofisini umeajiriwa na bosi mkristo na unafanya kazi na wakristo wenzako. hii nchi sio ya kiislamu wala kikristo, kama unataka omba uraia wa Yemeni uende ukaishi huko. usitulee ujinga wako hapa.
Mfikishien ujumbe padre slaa.
Kuwa nchi hii haiwez kuongozwa na mtu mwenye laana la mungu kama yeye.
Amemuasi mungu.
Taifa hili halihitaji laana.
hilo ni bwabwa la udini na kada la ccm vp leo uwe ukawa halisomeki kisa linaongozwa itikadi za kidini.
Mkuu akitoka ukawa aje act tufanye demokrasia ya kweli na sio siasa mavimavi tena
Wewe umevurugwa! Hatuwezi kusikiliza mazwazwa kama wewe mnao weka udini mbele! Tangu mwanzo nilijua tu kuwa umekuja na fikra za udini na bahati nzuri umekuja kuanika ujinga wako mbele ya great thinker.
Hapo ofisini umeajiriwa na bosi mkristo na unafanya kazi na wakristo wenzako. hii nchi sio ya kiislamu wala kikristo, kama unataka omba uraia wa Yemeni uende ukaishi huko. usitulee ujinga wako hapa.
Umeshasahau 2010 siasa mulidanyia makanisani? Sio udini kwenu sio.
Ni kweli mkuu.
Hawa wachaga hawawez kutuzid akili hata siku moja.
Mfikishien ujumbe padre slaa.
Kuwa nchi hii haiwez kuongozwa na mtu mwenye laana la mungu kama yeye.
Amemuasi mungu.
Taifa hili halihitaji laana.
Umeshasahau 2010 siasa mulidanyia makanisani? Sio udini kwenu sio.
Swadaktaaa,naungana nawewe mkuu kuwa nchi hii si ya waislam wala wakristo na ndio maana tunasema nchi yetu haina dini.Sasa itakuwaje nchi isiyo na dini Ikaongozwa na kiongozi wa dini(padri Slaa)?Au we unaonaje mkuu.(
aliye itwa chaguo la Mungu aliitwa na nani? lini alishasilimu baada ya kutoka madhabahuni?! unasema kampeni kanisani mbona huyohuyo lipumba alikiri kusaidia jahazi lisizame kwa kumsaidia JK. kwa taarifa yako yamesha pita maana yalioyopita si ndwele na sasa tunataka kuona nchi inasogea hapa ilipo bila kuanga vita ya udini mnayotuletea.
Kama hutaki mgombea X utapiga kura yako kwingine, na sisi wengine tutapiga kura kwingine. Unacho kifanya hapa ni kumbwela mbwela tu

Chadema ndio wa kwanza kuanza kampeni makanisani chini ya dr slaa 2010 msijifanye kulisahau hilo.
Sisi hatuna iman na huyo jamaa hata kidogo.
Kaeni mkilitambua hilo.
Nashukuru kwa kulifahamu hilo kama siasa zilifanyika makanisani je kwa nini maaskof waliokasema jk kachaguliwa na Mungu baadae wamgeuke na kumsapiti padre Slaa?