Rugaijamu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2010
- 2,942
- 1,300
Nchi hii haiwez kuongozwa na padre slaa hata siku moja.
Kanisa halina nafasi tena nchi hii
Wewe ni MTU hatari sana,hupaswi kuachwa hivi hivi hata kidogo.
Nchi hii haiwez kuongozwa na padre slaa hata siku moja.
Kanisa halina nafasi tena nchi hii
You're displaying all diagnostic symptoms of mental disorders .UKAWA is not a mental asylum please.Go and join ACT.It perfectly suits your crazy world view.
Chadema hawawez kuwa watetez wa rasilimali za nchi hii.Mkuu kuna siri kubwa sana hapa ila watu hawaijui. Nasikitika kuona watu watu wanashabikia chadema kwa kufikiri ni mkombozi wa watz kumbe ndio wezi wenyewe.
Wamevurugwa sana hao jamaa.
Yani sisi tumpigie kura padre??
Sisi siyo wapu.uu.zi kias hiko.
Its very unfortunate JF spare this crooks! Person of this type supposed to have been burnt since day one! This is one stupid fellow muslim who think only muslim suppose to install its leadership as if we are in muslim states! So sad..
He used to be furious with the situation in Mtwara during gas saga, now days he is in big compromise after scoring employment in oil and gas sector.
Empty stomach made him noise.... very pathetic
Mkuu hapa huwaoni wakija kujibu hoja hizi hawa watu wakuonewa huruma tu na mwaka huu ile sakosi tunaizika lazima turudi katika misingi ya nchi iliyoasisiwa. Zitto kabwe udumu.
Nutcase!Chadema hawawez kuwa watetez wa rasilimali za nchi hii.
Wapiga madeal kama mbowe na mtei toka lin wakapewa dhamana ya kuongoza nchi hii??
Sisi siyo wajinga.
Padre slaa na chadema yake wakae wakalitambua hilo.
UKAWA tunaangalia anayekubalika ndani ya Ukawa na kwa wananchi .
Nutcase!
Zitto must be blaming himself somewhere for having degenerates and lunatics like you around, you're unknowingly damaging his political image.Mkuu hapa huwaoni wakija kujibu hoja hizi hawa watu wakuonewa huruma tu na mwaka huu ile sakosi tunaizika lazima turudi katika misingi ya nchi iliyoasisiwa. Zitto kabwe udumu.
Dk Slaa hana laana ya Mungu. Kikwete ndiye rais aliyeitumbukiza nchi kwenye majuto makali. Laana ya Mungu kwa viongozi hupimwa kwa matokeo ya uongozi wao. Ukilinganisha CCM inavyoporomoka chini ya Kinana na Chadema inavyopaa chini ya Slaa, kama huna akili za kushikiwa utaelewa kuwa Kinana ana gundu.Mfikishien ujumbe padre slaa.
Kuwa nchi hii haiwez kuongozwa na mtu mwenye laana la mungu kama yeye.
Amemuasi mungu.
Taifa hili halihitaji laana.
Tunaomwelewa Zitto ni kuwa, labda baada ya utawala wa Kikwete anaweza kurejea mstarini. Hana ubavu wa kuuchenjia utawala wa Kikwete.Zitto must be blaming himself somewhere for having degenerates and lunatics like you around, you're unknowingly damaging his political image.
Zitto must be blaming himself somewhere for having degenerates and lunatics like you around, you're unknowingly damaging his political image.
Dk Slaa hana laana ya Mungu. Kikwete ndiye rais aliyeitumbukiza nchi kwenye majuto makali. Laana ya Mungu kwa viongozi hupimwa kwa matokeo ya uongozi wao. Ukilinganisha CCM inavyoporomoka chini ya Kinana na Chadema inavyopaa chini ya Slaa, kama huna akili za kushikiwa utaelewa kuwa Kinana ana gundu.
Ukimtazama Mbowe na mafanikio yake kwenye chama ukamlinganisha JK na kuyumbishwa kwake na CCM yake utagundua nani ana laana.
Slaa amemletea mama yako hospital ya kutibu Fistula
Slaa ameshirikiana na wenye akili wenzake kushusha gharama za matibabu. Sasa hivi KCMC gharama zake ni sawa tu na hospitali yenu ya Nachingwea.
Slaa ana utiisho usiomithilika kwa wezi
Slaa ameongoza sekretariet ya chadema kwa mafanikio na kwa weledi mkubwa
List of shame ya Slaa hakuna aliyejibu hadi sasa
Wenye laana za Mungu wapo CCM sio CDM
Sheikh hawezi kuongoza hadi labda 2025 inshallah. Na ikitokea sheikh akataka urais na akawa anazo sifa, wakristo watamchagua tu. Wakristo hawana tatizo na dini ya mgombea. Waislam msiwe na hofu na wakristo.Habari ndiyo hiyo
Wafikishie bwana zako kuwa nchi hii haiwez ongozwa na padre au sheikh.
Haitakuja itokee.
Ladies and Gents.
Friends and Our Enemies.
Nachukua muda wangu kumpongeza Profesa Nguli wa uchumi ndug Ibrahim Lipumba kwa kutangaza nia yake mapema ya kuwania urais kupitia ukawa.
Nachukua nafasi hii kumpongeza na kama tunavyojua Wilbroad Slaa itambidi asubiri tu kwani hana CV ya kumzidi Prof Lipumba.
Ukawa mkae mkijua kwamba kama hamtampitisha Lipumba basi ni bora tukose wote.
FULL STOP.
Mkuu ile sacoss ife mara ngapi??
Ile saccoss ishakufa.
Ujio wa ACT umeiua moja kwa moja ile sacoss.
Hivi sasa wamejificha nyuma ya ukawa tuh.
Na haitawasaidia.
Inshort hawana nafasi.
Utaelewa tu
Lipumba jaman tukiacha ushabiki ni mtu ambaye kwa mtazamo wangu anafaa zaid kuliko wagombea wengine wote.
sifa zake according to me
1. msomi na mchumi mzuri sana
2. exposure nzuri sana ameshiriki kwenye kazi za kiuchumi za nchi na mashirika mengi makubwa
3. sio mtu kwa kutegemea mob influence
4. ana nidhamu sana
5. ni mtiifu sana halafu hatendi mambo kwa kukurupuka
6. anajua kupambanua mambo sio mtu wa kushikiwa akili
7. huutambua wakati, na ni muwajibikaj mzuri sanaaa
8. ni presidential material as ni mtu ambaye sio lazy affair hata kidogo atatuumiza kwa udikteta lkn tutapita
9. ni mtu asiyeyumbishwa na siasa za kimagharibi hata kidogo
10. ni mpenda maendeleo yenye tija na anaweza kujadili mambo bila mihemko wala jazba na kwa lugha inayoeleweka