Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Padre mzinifu hawez kuongoza nchi hii hata siku moja.
Kama mnabisha subirin october siyo mbali.
Acheni wendawazimu wenu hapa.
Angekua sheikh anataka kuingia mle ikulu mngekubali???
Acheni mambo ya ki.cho.ko nyinyi.
Padre abakie huko kanisani aendelee kutafuna kondoo wa bwana kama wewe.
Sisi hatuna haja nae.
Uzinifu wa Slaa unakuwa defined kwenye kitabu kipi na aya ipi?
Na kwa nini 'uzinifu' wa Slaa uwe ndio kigezo cha kutokuwa Rais na unawaimbia mapambio wezi, wabadhirifu, makatili, wahuni wengi wengine? Kwenye kitabu gani na sura ipi pameandikwa mzinifu asiwe rais ila mwizi, mla rushwa, mwongo na fisadi ni sawa kwa Urais?